Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu Wafilipi 4:13
2026-08-20 05:24:04
709
Amilda :
Jeremiah 29:11
2026-10-07 10:23:37
0
RK♥️♥️user7385491647379 :
sitakufa bali nitaishi niyasimlie matendo ya mungu
2026-08-19 12:41:29
288
Miss_Lindah :
Isaya 41:10 usiogope kwa maana mimi ni niko pamoja nawe,,usifadhaike kwa maana mimi ni MUNGU WAKO…nitakutia nguvu na nitakusaidia,kukushikilia kwa mkono wangu wa kuume wenye haki❤️
2026-08-20 05:40:45
190
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-03 10:59:03
24
. :
hata kama dhambi zeni zikiwa nyekundu , zitakuwa nyeupe Kama theruji🙏
2026-08-19 13:14:27
64
debrety :
bwana ndie mchungaji wangu sitopungukiwa na kitu
2026-09-21 13:03:55
8
Ms. Cammie♥️ :
Zaburi 23 Bwana ni mchungaji wangu
2026-09-01 20:20:13
47
official m.k :
kutoka 14:14BWANA ATANIPIGANIA NAMI NITANYAMANZA KIMYA
2026-09-15 11:50:51
7
beby Mage :
zaburi ya 23 Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
2026-08-20 08:53:54
54
Beatrice Amos :
yeremia 33:3 niite nami nitakuitikia nakukuonesha mambo makubwa na mgum usiyoyajua