@sam1_maestro: Umetishwa sana,umekuwa mnyonge,umekata tamaa,unaona uliyeachwa,labda Mungu amekusahau,BIG NOOOO.You know what ANAKUWAZIA MEMA na si hayo mabaya unayoyasikia. Yeye ni kimbilio letu maana hata tukipita katika bonde la uvuli wa mauti gongo lake na fimbo yake vinatufariji,anakuandalia meza mbele ya hao wanaokutesa,kukuona hufai,kukuaibisha.IPO SIKU NA SAA NA INAKUJA kikombe chako kitafurika. #bible #prayers #trendingvideo #trending #wednesday