@king_m0tivation: JIFUNZE KITU⬇️#oneman

One_Man 👑
One_Man 👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 05:06:06 GMT
9217
667
25
11

Music

Download

Comments

kishoma44
Kishomajr :
absolute fact
2026-08-19 05:31:17
0
mimiemilly00
Milly 🍂 :
Thank u🙌
2026-08-19 05:20:37
0
miriam.siundu
Miriam Siundu :
🥰🥰Asante
2026-08-19 11:43:37
0
user1357483015888
shalifa,🥰🥰 :
asante
2026-08-19 09:37:53
0
annlysherz_mitumba
annlysherz_mitumba :
mm niliambiwa u deserve more una roho nzuri ,unajali na moyo mzuri ila kwa Sasa (ni kweli Kuna mtu mwingine )haya ni maneno yake na as long as nilikuwa nishaona na namjua mtu wangu hawezi kuwa vile unless other wise Kuna mtu mpya sio vita nilichagua kumuelewa popote alipo namuheshimu sana na nashukuru kwa nyakati njema ambazo tulipitia wote naendelea kumuombea apate mtu sahihi wa kuvushana nae Sina kinyongo nae ...nilichagua kumpa uhuru wake maana kuachana sio vita jamani yawezekana mtu sahihi atayenichagua na Mimi yupo anaandaliwa ili nije kuishi kiparadisoooo
2026-08-19 06:10:27
3
bundesligaboy6
bundesligaboy6 :
Tik t0k mnanichanganya mjue😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
2026-08-19 20:14:27
0
mwana0367
mwana :
naomba ushaur jamaa aliniacha miaka 6 bila ugomv sasa anaomba arud tena kwa kas je nifanyaje?
2026-08-19 11:02:29
0
user8839214472774
user8839214472774 :
wanaume tunaishi kutamani ila kunae tunae mpenda ila anae pedwa akijiweka katika kundi la wanao tamaniwa shida ndio uwa inaanza apo
2026-08-19 06:52:28
0
allywaziry105
allywaziry105 :
vijana msipende kupitiliza , ni ushauri tu💔.... wenzenu tushakufa kihisia 💔
2026-08-19 18:08:34
0
aminaamonhongoli
aminaamonhongoli :
kweli kabisa
2026-08-19 09:56:04
0
samy30404
samy30404 :
kweli kabisa
2026-08-19 07:40:28
0
mustafahaji881
IZACK :
Noma san
2026-08-19 05:19:23
0
user37elodie
user37250321378251 :
asante
2026-08-19 08:09:47
0
fettymmoja
Sweet love :
sijajibizana nae, nimemuuliza tu shida ni Nini? nilipoona majibu hayaeleweki nikajikataa🙏
2026-08-19 05:40:36
0
user3255245165421
user3255245165421 :
🥰🥰🥰
2026-08-19 06:16:46
0
mrs.mam.t.sofiya
Mrs mam T Sofiya❤️❤️ :
🥰🥰🥰
2026-08-19 07:51:35
0
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About