Walio lala makaburini ndio waliondoka nao utulivu
Allah warehemu mait zenu uwasameh makosa ya siri na dhahiri
2026-08-19 08:58:40
122
salmakan :
namkumbuka baba angu alikuwa ana gari kama hizi asubuhi ananipeleka skuli halafu yeye anakwenda hospitali ya mnazi 1 kungoja abiria dah mungu amrehemu baba angu
2026-08-19 12:31:18
47
Sal :
Wengine tukisikia hizi nyimbo na kuona picha za zamani tunaumia lkn tufanyeje na dunia hairudi nyuma inaenda mbele tu. Mungu awarehem wazee wetu waliotangulia mbele ya haki
2026-08-19 16:30:57
20
double :
shokat
2026-08-20 10:05:17
0
khairat fakih :
ukickia hivi machozi yatakutoka wapi zanzibar ya zamani
2026-08-19 18:50:06
12
lamela :
maish ya zmn raha bhn
2026-08-19 11:26:43
13
naima :
zanzibar ilikuwa tulivu na neema.tele.
2026-08-20 15:38:59
4
Young money 💰 every year 🌍 :
Zanzibar imekwisha imebakia jina 2 Zanzibar 👨💻
2026-08-19 14:29:04
6
Merlique Caprio :
Haiwezi rudi tena..
2026-08-19 10:46:45
5
Saeedcaiza_10 :
Dah Dunia nzima Zanzibar moja tu ambayo ni unguja na Pemba🦾🦾
2026-08-21 14:06:28
1
Issa :
wapi tena zanzibar kwisha kabisa dah Allah warehemu wote waliotangulia mbele ya hak wasamehe mazambi tao yatie nuru makabur yao.
2026-08-19 16:36:10
10
aunt_naa1 :
aa wapi imebaki story tu
2026-08-19 06:36:41
5
Akhiyl Kareem :
Mkunazini Garage Kwa Bwana Mechenicha Bohora Yule alikuwa Sijui Goa
2026-08-19 19:47:22
6
alalawy :
wazee wetu walikua na akili na hekma waliweza kutunza,rasilimali za znz hadi kutufikia sisi ila sisi kuna,asilimia kubwa vizaz vetu vijavo hawana lao hapa,kwa uzsembe wetu allah awasamehe waliotangulia
2026-08-19 14:58:39
6
Hajj Nyambu :
dah tumeuzwa na zanzibar yetu had leo bado watumwa inauma sana yani sisi niwafungwa huru
2026-08-19 10:41:03
6
Mr Mtu Kwetu :
zanzibar yenye magari mabovu km hayo haipo😳
2026-08-19 12:56:07
1
Z.Traore :
Subhanallah miaka imepita sasa
2026-08-19 09:16:23
6
Yussuf Amaso :
karbu na kidutani nursery school
2026-08-19 08:07:54
9
Merlique Caprio :
Mola aturudishie enzi hizi za utulivu..
2026-08-20 16:15:49
1
youngmdachi3 :
jina la nyimbo
2026-08-19 20:24:54
1
Saviola :
Ile Zanzibar haipo tena
2026-08-20 11:17:58
0
🌹cuttey_eydar🌹 :
neema imeondoka vurugu na dhuluma vimetawala
2026-08-20 15:22:51
0
bint msellem :
Naikumbuka mlezi wangu Alikuwa na kita km hichi.. Akiitwa mzee Khamis maaruf Khamis kimnya BBB skuli... Allah Amrehemu..
2026-08-19 17:29:36
4
Alhabeeb Issesu :
jina la nyimbo tafadhali
2026-08-20 06:36:09
1
To see more videos from user @maria.44440, please go to the Tikwm
homepage.