@conradtheone1: IRAN YAKAMATA MELI YA MAFUTA YA UAE, YAELEKEA BANDARI YA BANDAR ABBAS🇦🇪🇮🇷 Meli ya mafuta ya Falme za Kiarabu (UAE), inayodaiwa kukamatwa na Iran katika sehemu ya kaskazini ya Mlango wa Hormuz, imebadilisha mwelekeo na sasa inaelekea Bandari ya Bandar Abbas nchini Iran.Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya Iran, meli hiyo awali ilikuwa ikielekea Bandari ya Jebel Ali nchini UAE. Hata hivyo, baada ya kukamatwa katika eneo la Mlango wa Hormuz, imeelekezwa kuelekea Bandar Abbas.Taarifa za awali kutoka vyombo