mwanaume Kama huyu. bora niendelee kuwa single.anaongea huyo,duuuu kweli sina moyo huo wa kuvumilia.
2026-08-19 11:28:08
9
Baba sulleiya :
Anachekesha km cyo mumeo🥰😂😂😂
2026-08-19 12:32:21
2
Cathy 💫💯 :
apike Nile niende kwetu sisimamiwi ghai!
2026-08-19 13:24:18
2
GudBrand :
umenifulaisha jamni 😂😂😂
2026-08-19 11:53:25
1
shery💦 :
ni kabila gni ili kwenye pita pita zangu nisiije kujikweaaa nikaangukia ap
2026-08-19 13:16:09
1
Kasereka Philemon :
Iyi kali
2026-08-19 14:14:45
0
luise :
suite
2026-08-19 12:23:50
1
Arshleyn♥️♥️ :
kama Mimi namuachia apike yeye😂😂
2026-08-19 19:02:25
3
happyness :
Mmh mimi swz kuvumilia loh
2026-08-19 12:22:25
1
Farhat Sharifa :
kunambab chamaz yazamani NAKUMBUKA zama izo maji shid uyo baba mkewe anafua nguo wallah anabwata fua vzr NAKUMBUKA ilikua zile sale za mganbo 😁Ile cku jmn adi Leo nmkumbuka
2026-08-19 14:00:02
2
ENGENEER VERO :
huyu kaka wa baba atu😂
2026-08-19 07:56:06
3
chidodo mubishi :
mke saf hyo mvumilivu
2026-08-19 12:07:44
2
To see more videos from user @kicheleko5, please go to the Tikwm
homepage.