@ared.properties: Unapohamisha umiliki wa kiwanja au nyumba kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi, kuna gharama mbalimbali ambazo wengi huzigundua baada ya kuanza mchakato. Kabla hujalipia kiwanja au nyumba, hakikisha unafahamu gharama zote za uhamisho wa umiliki na unatenga bajeti yake mapema. Kwa ushauri na uhakiki wa taarifa kabla ya kufanya uwekezaji wa ardhi, wasiliana nasi. 📞 Kwa msaada zaidi, tupigie leo: +255 679 426 108 WhatsApp: +255 679 426 108 108 #AREDProperties #RealEstateTanzania #Uwekezaji #Propertylnvestment #RealEstatelnvestment @Keha edson

Ared properties
Ared properties
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 05:58:03 GMT
12327
253
20
170

Music

Download

Comments

petermathiasswai
Peter Mathias Swai :
Asante kwa elimu
2026-08-22 18:50:57
1
mrcarlos662
Mr_carlos662 :
vizuri sana ila ongea kiswahili tu na sio English na Swahili maneno mengine sio wote wana elewa maneno ya kitaalamu ya sheria ya ARDHI kaka asante
2026-08-23 23:51:58
2
alen.kimatuka
Alen Kimatuka :
nahitaji usaidizi asante kwa elimu
2026-08-20 16:27:56
1
luhingulanya
luhingulanya :
Hii Asilimia kumi capital gain inatokea wapi mkuu wanayodai unalipia
2026-08-26 01:49:32
0
user83243631851285
Abumary :
Gharama nyingine umisahau
2026-08-25 07:14:40
0
ahmeddylameck
Ahmedyramaar :
sijui ni mm tu sijakusoma☺️
2026-08-21 21:17:45
0
arjen006
rubeya :
ukiuziwa kiwanja cha Marathi..unalipia gain tax?
2026-08-25 07:29:25
0
alsykesone
Ali sykes :
upuuzi mtupu, hii nchi kodi, tozo mpaka makwapani!,
2026-08-21 04:56:25
0
ared.properties
Ared properties :
@itsmedanielaloyce Ahsante kwa kututaarifu.. video nzima hii hapa
2026-08-19 06:00:31
1
karinga91
mussakayunikaringa91 :
mkuu kiswahili hakipandi au
2026-08-20 17:46:41
0
tnmz56
HENRICK :
ni kwa chenye hati ya wizara au kiwanja chochote?
2026-08-23 02:22:38
0
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Nchi inajua kunyonya hii..
2026-08-20 12:00:47
1
To see more videos from user @ared.properties, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About