@veriafya: Ufafanuzi huu umetolewa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Godfrey Chale wa Dkt. Chale Polyclinic iliyopo Mbezi kwa Msuguri kupitia mazungumzo aliyofanya na Veriafya ambayo yanapatikana kwa undani kupitia chaneli yetu ya YouTube