@chief_maalim_mpiri1:

KING OF THE KINGS EAST AFRIC✅️
KING OF THE KINGS EAST AFRIC✅️
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 06:40:40 GMT
54652
3814
131
213

Music

Download

Comments

binadamuafrika
Mike_Bendi👑 :
🇦 🇲 🇮 🇳 🇦... 🙏🏾❗.. 𝙖𝙣𝙖𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙪𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙢𝙩𝙪𝙥𝙪, 𝙁𝘼𝘾𝙏𝙨💯. 𝘔𝘶𝘤𝘩 𝘳𝘦𝘴𝘱𝘦𝘤𝘵 𝘵𝘰 𝘵𝘩𝘦 𝘼𝙛𝙧𝙞𝙠𝙖𝙣 𝘢𝘯𝘤𝘦𝘴𝘵𝘰𝘳𝘴 💞✊🏾❗
2026-08-20 10:56:22
2
rehemajonathan445
Rehema Jonathan :
Smart Man is speaking,, 💪
2026-08-20 16:12:08
0
0775742093.pott
Dk faustine :
PhD of philosophical very nice umeniwakilishaa
2026-08-20 12:03:02
0
mr.nobody92797
mr nobody :
naamini sasaa WAAFRIKA tumeanza kujitambua ameeleza vyema sna
2026-08-19 12:58:58
70
hamad.salimu.haji
hamad salimu haji :
serekali iko wap watu wanamkufuru mungu hiv hiv😰😰😰
2026-08-20 12:19:37
4
uploadme_
Klyro :
nimefurahi sana kuona waafrika tumeanza kuamka. kuna kitu kinaitwa Neural network ambacho hicho kitu ndo backbone au mgongo wa AI (Artificial intelligence) Kuna kitu kinaitwa Quantum Physics (hizo Robotics na Military Drones, Intercontinental ballistic missiles zinafanya kazi kwa uwezo wa Quantum Physics). sasa maoni yangu ni kwamba tusipo amka hivyo vitu hatuwezi kuvifahamu, tutaendelea kukariri na sayansi tutaisoma kama historia.
2026-08-20 12:49:21
7
daulingem.mjukuu
daulingemmjukuu :
you done bro
2026-08-20 09:14:41
0
steven.mlimba
Steven mlimba :
kichwa chenye maarifa ni utukufu kwa ulimwengu
2026-08-20 04:36:17
16
malenga32
malenga :
awakening is real 💪💪💪💪
2026-08-20 16:57:03
0
rechelosward
kharati maund :
kweli kaka tamaduni tumezisahau
2026-08-20 06:13:59
10
user2063609701961
Felix tz :
Mungu kuna watu amewajalia uelewa wa juu
2026-08-19 19:01:05
13
michaelruwa3
MICHAEL RUWA :
yani huyu mzee anasema kweli
2026-08-20 01:11:39
9
daudi.programm
daudi program :
kweli chihonda nahiyo ndio tempo of karnak 💯💯💯
2026-08-19 18:00:02
10
jumashabani10
user1326265721810 :
Alhamdulillah kwa kusilimu na kuwa Muislamu na ALLAH anifishe nikiwa Muislamu
2026-08-20 15:45:54
1
saifsaify20
saifsaify20 :
Akili zinaanza kurud kujua mungu
2026-08-19 21:08:36
8
user6697228765614
77 :
bang bana c k2 kizur
2026-08-19 22:08:46
0
user125581522293
Cpt. Borbosus :
Mzee anaongea ukweli kabisa. ila sasa kumuelewa lazima uwe na akili timamu ambayo haijajazwa uongo na udanganyifu.
2026-08-20 14:44:07
0
user1341762667907
ayoub :
safi kabisa mkuu
2026-08-20 06:25:24
0
pamelajuma3
pamelajuma371 :
iyo nayo ni kweli sana
2026-08-20 12:47:34
1
herbalistjudy01
Herbalist Judy🌿🧿 :
Safii🔥🔥🔥💯💯
2026-08-20 05:40:43
4
user4135035141206
happy wambi :
mzeee amegrow
2026-08-19 19:35:58
0
user29086618085738
edinestavenance :
Hii ndio Afrika tunayoitaka
2026-08-20 08:42:40
3
user6150054217190
Malkia Ijengo :
asante Chionda Asili ikutunze.Hotep
2026-08-20 11:00:08
4
makuyunifinest.tz0
MAKUYUNI FINEST :
AMKA MWAFRIKA 🔥 🙌🏼
2026-08-19 22:52:10
5
og.go147
og go :
alivyo ongea ikifikiria zaidi utamwelewa
2026-08-20 13:41:20
3
To see more videos from user @chief_maalim_mpiri1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About