nimegundua kua sifuna ana sukumwa na ma tycoon Fulani,juu ata ukimsikia akizungumuza hajui anataka Nini,utamsikia mnaniona,mimi ndio sifuna,surely mimi niliwacha kazi zangu ilinikamsikize,kumbe ni Bure hivi,heri nifuate tu ruto mwenye ameanza miradi mbalimbali,ili amalize,ruto two terms