daaaah umepngea point saana Allah akufanyie wepesii inshallah
2026-08-19 09:34:16
33
أختي_شووو :
umechelewa kunishauri kaka 😭😭😭😭
2026-08-31 08:02:43
3
Kylebatrome🥱 :
ukwili kaka angu me pia nilipata mwanaume mdangaji kila wakat alikuwa akitaka pesa kutoka kwangu nilijuta kumbe alikuwa ana mtu wake anatoa pesa kwangu anapeleka kwake kaka asante kwa somo nimejifunza