@chujikachuja3: chuma inawakaa kama karatasi duuuuuh

Mr Ukeba🇿🇦
Mr Ukeba🇿🇦
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 07:22:03 GMT
57031
2417
97
71

Music

Download

Comments

patrickflugens
patrickflugens :
daaah noma road life hyo 😥😥
2026-08-19 20:41:31
0
officials...faniza5
🧣official🪭faniza😻💯 :
daaah uzuni p1 ufundi polic 😌
2026-08-19 15:34:40
0
abdulisalumu629
Abduli Salumu :
sema ndugu zetu punguzeni hasira kwamulichofanya mumezingua sana haikuwa dawa iyo
2026-08-19 11:41:55
10
wadudu.wote
Wadudu Wote :
walio gongwa na roli kwenye bodaboda mmoja wao namjuwa kafariki hapo hapo na hanafanya kazi kkoo na ni rafiki yngu wa kutaniana sana kuhusu migambo wa rod na jana tumeachana vizuri leo asubuhi nasikia tarifa yake et kafa ndo halikua anakuja kazini kumbe mauti hakimsahau mtu kama namuona halivyo kua msheshi kwa sauti yake unacheka mpaka mbavu leo sina wa kupiga nae stori ondoka kamanda wangu wote safari moja 😭😭😭😭😭😭
2026-08-19 16:03:07
24
jafary.samweli
Tz🇹🇿 :
Boda tunaamin hatuna chakpoteza
2026-08-19 14:30:11
4
shabanimadobe797
Shabani Madobe :
lini iyo
2026-08-19 14:24:31
1
captain_mbilinyi_
@Captain_Mbilinyi🚛🛣️⛰️🚧🚨 :
lini hii
2026-08-19 13:08:24
2
aisharajabu8685
Aisha Rajabu :
niwapi hapo jamani
2026-08-19 09:44:12
2
tiy8687
Tiy🥰 :
wapi hiyo jaman
2026-08-19 09:17:41
2
hemed.mshewa
Hemed Mshewa :
haijauwa watu humo ndani?
2026-08-19 13:09:00
2
samwel.masawe6
samwelmasawe :
ajali imetokea maeneo yetuapa
2026-08-19 12:35:03
2
mr_right002
𝒎𝒓.𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 🧸 :
hivi ni kweli dereva wamemuua
2026-08-19 17:18:10
0
kikore.auto.spare
KIKORE AUTO SPARE PARTS :
Kaka usiombe hii nimiona Camacho yangu live
2026-08-19 19:56:16
0
kakmrixsho
kakmrixho :
mkoa gan
2026-08-19 15:33:25
0
fordkingztz
qualityboytz :
Mda napita apo miili ilikua kando ya barabara na ilo gari bado alijachomwa
2026-08-19 17:37:22
1
blacks3la45
Gumzo_4👊 :
chanzo nn
2026-08-19 14:48:13
1
nailafengu
Mama Nu²🫂👣 :
duuh isee polen wafiwa jmn boda hiz ni mtihan San IL hpo si ataenda chukuwa gari mpy
2026-08-19 19:00:43
0
fashionwavetz
its rammy@ :
mm sielew kuna shdaa gnii
2026-08-19 20:43:04
0
maniger_upupu
🍁maniger upupu🍁 :
hey io leoo hyoo 🥺
2026-08-19 15:40:58
0
user7248292340929
mama wawili :
dah kweli amepona shemej yangu kweli mohara
2026-08-19 16:21:12
0
user2017830101866
MUNDHIR ALY :
lini iyi
2026-08-19 16:29:05
0
friji.used
friji used :
dah nilikuepo kaka
2026-08-19 16:07:04
0
khubaidah8
khubaidah8 :
heeee wamelichoma moto tena,daaah kauwa wengi sana ,mungu awape kail thabit marehem
2026-08-19 17:07:30
0
didah.jose
Didah Jose :
2026-08-19 21:16:04
0
mustapha3660
mustapha :
duh
2026-08-19 15:23:20
0
To see more videos from user @chujikachuja3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About