@eternalinternationalhq: Tumbo lako haliumii bila sababu… 👀 Ushawai kujiuliza kinachoendelea ndani ya tumbo unapokuwa na vidonda vya tumbo? Kuna bakteria, dawa fulani za maumivu na mambo mengine yanayoweza kuathiri kinga ya ukuta wa tumbo. Lakini swali ni hili👇 Kama una vidonda vya tumbo, ni dalili gani inakusumbua zaidi—maumivu, kuungua, gesi, kichefuchefu au nyingine? Tuambie kwenye comments. 👇

Eternal
Eternal
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 07:27:03 GMT
1350
59
7
13

Music

Download

Comments

ashuramali
ashura malik♥️♥️♥️♥️ :
mm vyote
2026-09-22 19:32:41
0
user6825817049322
kilel kimaki :
Tuambie dawa ya vidonda vya tumbo
2026-08-22 18:06:45
0
mamito66
MRS E :
Kuoo kuwaka moto
2026-08-23 20:34:13
0
missmbappe01
issamick :
tumbo kuuma sana
2026-08-29 04:52:43
0
user5614984787977
user5614984787977 :
gesi
2026-08-23 17:59:25
0
josephpaul809
Josephpaul :
kungua tumbo
2026-08-21 09:53:51
0
kamwine.steven
Kamwine Steven :
kichefu chefu
2026-08-29 12:46:20
0
To see more videos from user @eternalinternationalhq, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About