Kwa hili nimepata somo naanza kuanzia sasa Mpaka mwakani nitakupa majibu Asanté Sana kwa ushauri Mzuri Kaka 🙏🙌
2026-08-19 13:11:21
1
yessa mhd :
una udugu na leonard
2026-08-19 08:58:37
2
Alphonce Maguzu🥊🇹🇿 :
point kak,,,,,Niko p1 nawew
2026-08-19 13:28:38
0
animal :
umenipa kitu
2026-08-19 12:44:55
0
DADDY MAYRA :
kweli bro umeongea kweli kabisa
2026-08-19 12:43:41
0
Ngogo Daughter🥰 :
Sauti ya Leonard😳
2026-08-19 12:56:11
0
goldencosmetics&jese services :
mfuke wa zarula niliweka nikafika mil6 baada ya miez kadhaa lakin mume wngu akanikopa zote sasaiv naanza tena🥰🥰🥰 NAMPENDA MUME WNG NA MFUKO WA DHARULA
2026-08-19 12:51:18
0
Mr Wise :
yan mwenye D mbili kam mm na ame elewa gonga like hapo maana hap ina inaitajika akil kubwa san
2026-08-19 10:57:49
0
tino jr :
ishi maisha marefu utupe madini zaid
2026-08-19 12:28:53
0
iamchumira :
word
2026-08-19 08:43:55
0
smart kid :
Tunajishikiza tusife njaa daaa mbaya sana
2026-08-19 07:58:58
0
Joshua Leonard🍂🍁 :
Nimekuelewa sana pia Nimechelewa kukufatilia 🫡👏🤝
2026-08-19 08:49:49
0
officialCairo3 :
vema sana
2026-08-19 08:37:14
0
PYSER_@RT :
uwe unasema kabisa hii video inawahusu watu frani kama hii video sio ya kila mtu ulivyo sema tu mfuko wa zarula uwe na milions 😆 huwezi toka mfumo wa maisha ndio utakutoa uko labda kama umepata dili lenye pesa, au biashara imekuwa ila sio kuamua paah!!!
2026-08-19 09:43:42
0
dennis :
🫡
2026-08-19 08:47:38
0
Faah mturuki 🧿 :
💯
2026-08-19 11:26:28
0
To see more videos from user @mwl_wa_wataalam, please go to the Tikwm
homepage.