@mahirhassanmbarouk: JIBRIIL ALIPEWA AMRI YA KUIANGAMIZA KIJIII 😭 Alipofika akamkuta MJA MOJA anaabudu Allah. Akarudi kwa Mola: "Ewe Mola, kuna mtu anaabudu" Allah akasema: "ANZIA NA YEYE KWANZA" Kwanini? Kwa sababu aliona watu wanamuasi Allah na hakujali... hakuwakumbusha 💔 "Usikae kimya unapoona dhambi" ⏰ Leo ni wewe, kesho ni mimi #ukumbusho #sheikhmselem #jibril #amri #dhambi
Yaa Allah grant all muslims jannatul firdous ameen thumma ameen
2026-08-19 19:46:24
13
Mohammed Haji Mohammed :
[Sticker] fasta
2026-08-20 03:57:31
0
chakachaka :
Uislam umekamilika MUNGU atuongoze tusiwe katika wenye kukasirikiwa lnsha'Allah
2026-08-19 22:57:00
4
Haroub Suleiman :
tujitahid kukatazana maovu maana wako miongoni mwetu wanakushajijisha maovu tujitahidi kuzijenga imani zetu katika uchamungu ,si vema kuona ovu ukalinyamazia ni vema kulikataza
2026-08-20 06:15:57
2
Nish dhenie :
May ALLAH bless u
2026-08-20 08:37:15
0
mi saaya🌺 :
lailaha ila anta
2026-08-19 18:30:09
0
Chemical Alli :
Maa-shaa-Allaah! Jazzakallaahu khairan
2026-08-19 09:18:32
1
shufaa :
AL HUAKBAR
2026-08-19 10:39:13
1
Salma :
Allah akuhifadhi shekhe wetu
2026-08-19 16:38:35
0
mommy hakimi :
Subhanaallah Allah nipe Toba ya kweli
2026-08-19 13:07:07
0
Habib Makame :
Allah Akibar
2026-08-19 13:07:33
0
Ibrahim Mohamed :
ALLAHU AKBAR
2026-08-19 17:31:33
0
fthm_4 :
subhanallah
2026-08-20 09:17:24
0
dunga mawe :
subhnaallh
2026-08-19 10:27:00
0
majaliwa yaqub :
subhannallah ametakasika mwenyezi Mungu tujitahidi kuamlisha mema na kukataza maovu