@mnyamwezi.accesso: Replying to @zujat.hamisi

mnyamwezi accessories
mnyamwezi accessories
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 07:51:13 GMT
244963
10882
677
721

Music

Download

Comments

lizerykimario
lizerykimario :
hivi ndivyo inatakiwa wafanye ndugu zangu kuja kunitoa kwa huyu mwanaume😄😄😄
2026-08-20 07:08:55
326
73915176ngozi
Ngozi Raia :
tulioangalia ndo tukaja kwenye comment section tujuane
2026-08-20 14:06:30
149
patricia45127
Patricia :
Tanzania tungekua hvi, rais asingejichagua mwenyewe
2026-08-20 06:23:11
107
jovinamyelu
husna :
hata adui awe nanguvu kiasi gani mkiwa na umoja kushinda nilazima
2026-08-20 10:44:31
46
marry.njute
Marry Njute :
Sasa sijui nalia nin mim jmn
2026-08-20 11:30:58
9
1ezeking
Ezeking :
name of the song
2026-08-20 11:00:53
5
user1555434327800
Renipha :
wanahasira jaman wuwiiiiiiiii mungu huyu wa ajabu na viumbe wake😭😭😭😭😭😭
2026-08-20 09:56:50
14
charming7116
charming :
Siwezi kumuona ndugu yangu anakufa mbele yangu na muuaji namuona aisee!. Big up sn wajeda ila poleni kwakumpoteza shujaa wenu.
2026-08-20 09:44:15
21
richib.32
Rich boy.💫 1-30 :
mpak nimetoa machoz 😭😭😭
2026-08-20 08:12:56
7
manyakiagnes
Manyaki Agnes@1993 :
mnampambania mtu hata kama mtaokoa mguu tu lakini msiache kumpambania ndugu yenu hasa anapokuwa kwenye shida kama maradhi,hata kama mtazika lakini pambaneni hadi mwisho.
2026-08-20 11:42:09
25
reysacos
mxangi princes :
naona huyo nyan alioshika shingo alikuwa demu wake
2026-08-20 14:46:38
16
jinashinajishi
Jinashi Najishi :
jamn na binadamu tungekua na umoja huu
2026-08-20 07:14:43
9
ganethfabian
ganeth fabian :
kwakwel umoja ningv japo inauma sana
2026-08-20 06:32:44
8
braytonjoel317
Brayton Joel :
umefanya nikufollow
2026-08-20 09:16:22
1
simonpeter9280
simonpeter9280 :
Mim sina wasiwasi na hii video lakini najiuliza kuhusu camera man
2026-08-20 10:29:16
5
peacedeenyne
peacedeenyne :
hii ni nguvu ya kisasi sio kwa binadamu tuu hata wanyamaaa Mungu atisaidie sanaa na kutuondolea roho za uchungu🥹🥹
2026-08-20 06:52:50
8
anither_465
iam_anie🦋🥰 :
yan nimeangalia kama movie ila umoja mzuri sana huuu🥰🥰🥰
2026-08-20 12:22:54
5
adolphina92
adolphina :
Nimeangalia mpaka mwisho bila kupeleka mbele 🥺nimependa umoja wa nyani binadam tungekuwa ivi piya lakin wapi kila mtu na roh yake
2026-08-20 15:12:36
8
advecute
official @d!!..💃🦋 :
kinacho2ponza sisi people umoja hakuna na hata upendo haupo ni unafiki 2, kila m2 aombe mwisho mwema ktk cku zake
2026-08-21 16:36:06
1
abdallah.gidione
abdallah gidine :
nimeipenda
2026-08-20 13:24:56
1
user6762581252997
children's smile :
team work🔥🔥
2026-08-21 06:45:45
1
chachalastie
Ba Lue :
Huyu mjamaa mwenye ako katikati ndo legend 😂😂😂🔥🔥🔥🔥
2026-08-21 06:49:23
1
merryc39
Merry c :
siwaje wanisaidie kuvunja mahusiano yangu
2026-08-20 16:04:33
2
shuu.na.uzazimwan
shuu collection :
next please I wish see the end of this game
2026-08-20 16:02:42
2
useraccessoris
Mr accessoriesTz# :
binadam 2ngekuw 2naushirikiano kwenye matatizoo kama iviii 2singeteseka
2026-08-21 09:13:58
2
To see more videos from user @mnyamwezi.accesso, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About