🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kila siku napata reason why not to be married 🤣🤣🤣
2026-08-20 21:26:06
0
Ev Emmanuel Norbert :
😳😳😳Bro mbna umenitisha
2026-08-20 06:18:59
0
Veer💞🩷 :
g 6g g6 6g g6 d4 f 5f
2026-08-20 21:09:18
0
Irakiza theos :
true story 🤣🤣
2026-08-21 04:08:39
0
jopleza :
hata mseme nn mtajua wenyew, mm naipenda na naitaka sana tu . na ndoa yangu itakuwa nzuri na tamu balaa Mungu nisaidie🙏
2026-08-20 08:59:08
13
MAYO HOME DECOR :
Mimi nae nitaolewa na Ndoa yangu itakuwa ya Furaha Amani na upendo 🥰
2026-08-20 15:02:58
5
Mr lucas :
tupo kwenye ndoa natunafuraha ni mwaka wa 5 sasa
2026-08-20 09:33:31
4
elisha.Danieli :
mamayangu hapabila mungu hatutoboi,🤫🤫🤫
2026-08-19 09:23:42
4
Jackson Zacharia :
uwogo hakuna mtu asiye matatizo yake
2026-08-19 16:13:50
4
anifafau :
we uriona wap
2026-08-19 15:42:17
2
Mzalendo :
mi nafuraahiya . aaahhh acha niseme hivi sio kila ndoa zinateseka but 80% ni moto
2026-08-20 00:00:57
1
Happy Beauty 🎀🛍️ :
Eeee sio wote tatizo ndoa bila pesa ndo shida😂
2026-08-21 02:06:57
0
Alihaji kondoa :
mm sikupingi mburoo 🤦♂️💔📌
2026-08-20 14:27:54
0
Kivunja Jr_Official :
kuoa ni uzembe
2026-08-21 05:30:40
1
user2103355788602neema :
siingiiiiii tu naingia club🤣🤣🤣
2026-08-20 20:12:55
0
borson :
sio kweli acha kupotosha vijana ndoa ni nzuri sana
2026-08-20 15:43:24
2
user7388305842516 :
yaani Sina ham na ndoa ni heri ningezaa kwa mkataba tu
2026-08-20 04:07:32
0
mysala💕🔐🩷 :
Amn mtu namuoneà huruma kama mke WA ex Wang nyie hapn wallah anaitaji ujasiruu ex Wang licha ameowaa ila wapenz wake huk nawajua kama kumi mda mwingine anatongozaa Hadi watoto WA 4m 4 nyie hapn mwanzoni nilimulilia ila saiv hapn
2026-08-20 08:06:53
0
Dickson Adroph :
that true
2026-08-19 19:48:40
1
Fatma :
🤣🤣🤣🤣 nahizo husiano sasa leo hii hii nimetok kuvurugana kwenye husiano kwaiy kote kugumu 🤣🤣 tutumiane t mamb yaishe
2026-08-19 21:09:19
0
𝗠𝗢𝗦𝗘𝗦𝗜 :
acha kuogopesha watu bhna
2026-08-19 16:27:53
1
Jay home store :
Sauti sijui kama inatosha please volume up
2026-08-19 18:46:34
1
TRIFO 1 :
amina na iwe ivoo
2026-08-21 12:06:50
0
To see more videos from user @wanaafrikatv, please go to the Tikwm
homepage.