kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu
2026-08-19 20:04:40
5
@thesabrinaBella :
hahaha
2026-08-19 12:31:22
5
Dogo~Mbossoโจ๐ :
Daah๐
2026-08-19 08:31:38
0
Mnyaturu og :
Na muchukue kabisa nauli hapo mbele napanda daladala me silipii mtu๐๐
2026-08-20 10:59:30
4
rey mosha๐ฅฐ :
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nalo ilo linakuja
2026-08-19 20:02:13
3
judev :
unavyo patiaga sasa ๐๐๐๐๐๐๐โฅ๏ธ
2026-08-19 18:36:04
3
Azminaah๐ฅฐ๐ฅฐ :
huyo wapili mbn siwez kula bila yeye๐คฃ
2026-08-19 20:33:29
4
it's mimi :
ilaww
2026-08-19 08:25:56
2
To see more videos from user @roby_kachu, please go to the Tikwm
homepage.