kuna efootball family hapo nimeskia hiyo leoo hiyooooo
2026-08-19 17:41:13
0
ChillNaContent :
Kwenye hili tukio Bodaboda 18 wapo ndani wanalia ya ni wanatiha huruma
2026-08-19 17:59:34
18
mandendile243 :
kaka ushawachoma wenzio na hii video maana lazima watakamatwa nchii inaendeshwa na sheria
2026-08-19 15:45:50
19
Abuu 01🇮🇷 :
Broo gari ina bima hiyo analipwa gari mpya
2026-08-19 16:20:29
12
JANJARO TRUCK DRIVER🇹🇿 :
Ahaaaaa okay ✅
2026-08-19 18:45:56
1
officially Charlie Md :
jera sasaiv kama hawana ma milioni ya kulipa
2026-08-19 15:46:34
5
Smith Motors Tanzania🇹🇿 :
Kaka umekusanya ushahidi wa Kutosha😁
2026-08-19 18:17:06
2
qis :
serikali ipo mbioni kufunga hizi boda boda ni kero kubwa sana 😭😭😭
2026-08-19 18:27:13
2
Denis Nicholas :
Angalieni hii video isije ikatumika kama ushaidi
2026-08-19 16:29:38
2
Lamar_🚚 :
Apo tatizo shule ty 🙌🙌
2026-08-19 18:26:00
2
Mr_G_•°• :
siku moja izo asira kali zita waponza 😂 kuna mali ya mtu haiteketei bure ivo hata kama ana hatia nina ushaidi 🙌🙌🙌 sio poa kabisa
2026-08-19 18:30:49
2
seif hinte :
boda boda hata akiwa na haki ataonekana hana haki kabisa usione boda boda wakorofi wala hawana ukorofi mnavyo zani shida awanathamani wakipata shida mungu tusaidie 🙏
2026-08-19 18:40:55
1
In god we trust :
Hawa wote wanatakiwa wakamatwe na walipe ,viongozi wao wote waswekwe ndani
2026-08-19 18:51:20
1
zamani🧔 :
Ushachoma wenzako 😂😂
2026-08-19 17:32:19
1
@stenoinfluence🍁🍁🍁 :
kwaheshiìiiiimàa
2026-08-19 14:30:41
0
Hamisi Ndosi :
subirini kuokotwa
2026-08-19 18:51:50
1
Wadudu Wote :
walio gongwa na roli kwenye bodaboda mmoja wao namjuwa kafariki hapo hapo na hanafanya kazi kkoo na ni rafiki yngu wa kutaniana sana kuhusu migambo wa rod na jana tumeachana vizuri leo asubuhi nasikia tarifa yake et kafa ndo halikua anakuja kazini kumbe mauti hakimsahau mtu kama namuona halivyo kua msheshi kwa sauti yake unacheka mpaka mbavu leo sina wa kupiga nae stori ondoka kamanda wangu wote safari moja jamaa kaacha mke na watoto pacha wa miezi 3 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-19 17:24:00
0
Momy JR :
ila bodaboda jaman
2026-08-19 16:50:09
0
Mr.CRANE'S🏗 :
Yan gari imewaka mpaka imeisha na karibu na BANDARI na fire zipo pale mbili😂😂....
2026-08-19 16:19:38
3
doɔlɐǝᴚ🇹🇿✊ :
Yan hapo yanaona yamefanya jambo la kishujaa
2026-08-19 18:36:35
1
chuga og :
Ivo tuu
2026-08-19 17:27:27
1
polepoletz :
kitu tulokosea Africa kuruhusu bodaboda kuwa public transport
2026-08-19 18:02:22
1
silenthunter :
kwenye hyo boda ndio alikuwa na makosa aliingia njia kubwa bila kuwa makn
2026-08-19 21:26:01
0
AMIRY ALBARAJ :
mnaanza vita na hao madereva wa lori ee
2026-08-19 21:02:55
0
Mr.CRANE'S🏗 :
hizo gari nyingi hasa trip town haizina brakes wakuta dereva alijitaidi awezavyo lakin akashindwa ....huku mbalai huwa yana pitilizia sana kwenye machine
2026-08-19 16:21:41
0
To see more videos from user @pabloo.efx, please go to the Tikwm
homepage.