@reganvois89:

Richboy ❤️❤️😘
Richboy ❤️❤️😘
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 08:27:56 GMT
156503
15961
678
1567

Music

Download

Comments

user5816910755422
Teddy :
Eee mt Rita wa kashia Muombezi wa Mambo yaliyoshindikana na waliokata tamaa Utuombee
2026-08-20 06:16:45
56
ragemonah6
ragemonah :
st Rita i pray for the healing of my baby girl Rita
2026-09-12 22:07:17
1
flolensiandikwege
frolensia :
ee mtakatifu ritha wa cashia ninaomba unijalie afya njema balik ndoa yangu na familia yangu wape afya ya mwili na roho najua kwako kila kitu kinawezekan naomba barak amina
2026-08-24 20:20:30
12
user3156945591975
SELINA MKONDE :
eeehmwezi mungu pokea maombi yangu yapate kinalo
2026-09-04 21:05:50
1
pili.ibrahimu2
Pili Ibrahimu :
Hatakama siyo mkatoliki unaweza kuomba hiyo sala?
2026-09-16 14:10:53
1
velloura.vanilla05
Lucésha🎀 :
Eeh mtakatifu RITHA wa kashia naomba ubariki masomo yangu ,familia yangu na rafiki zangu kamwe baba yangu asinikatie tamaa kwakusikiliz watu🙏
2026-09-05 01:42:50
8
black.gilr7
B.l.a.c.k Abby g :
najiombea mm mwenyewe nivuke salama uku leba
2026-09-15 16:44:48
0
amvinortadm
Amvinort Adm :
mtakatifu ritha wa kashia funika familia yetu ,
2026-08-24 20:49:13
2
user4708007556960
betie :
mtakatifu Rita wakasia niobee uponyaji
2026-09-07 15:23:24
1
faithmakokha312
Faith Makokha154@ :
Milele na milele Amina 🙏🙏🙏
2026-08-19 18:47:48
4
mariasamwel30
Mary :
ee mtakatifu rita wa kashia utuombee sisi wakosefu na pia utuokoe kwenye shida na wakati mgumu tunaopitia
2026-08-20 08:01:10
6
susanwere0
blessings :
naomba uponyaji,riziki ,umojakatika familia yetu na umaskini
2026-08-21 09:09:02
1
gabriel78306
gabriel :
Eeh mt ritha naomba uwaponye wagonjwa wote wanao sumbuliwa na figo🙏🙏🙏
2026-09-20 03:02:27
2
bleey.elma66
bleey elma@66 :
eeeh mtakafifu Ritha wa kashia nijalie katika masomo yangu, familia yangu hasaa ndugu zangu wenye imani yao imepotea na nakuomba wenye hawana imani kwa mungu huwa tie nguvu na wapate kujua mungu nakuomba 🙏🙏
2026-09-12 18:59:49
1
user5521343261686
user5521343261686 :
Amina🙏🙏
2026-08-20 05:58:36
1
julianajonasi555
kanyamoz Juliana :
ee mwenyezi mungu nisaidie na mimi 🙏
2026-08-20 10:38:01
1
milly.musembi
Milly Musembi :
ee Rita fungua milango y watoto wangu wapate kazi.
2026-09-12 20:47:38
1
happymyeya
happymyeya :
Amina 🙏🙏🙏
2026-08-20 05:52:27
1
fatma.said7142
fatima :
jamn samahn naomba jina la mtoto wa kike anabatizwa desemba ila majina yanatakiwa leo mchana ila nimechagua Madeline praise sjui kama ni sahihi mimi sikuwa mkristo ila nataka kubadilisha dini niwe mroma
2026-08-27 05:35:24
1
esthermeja555
esthermeja555 :
Mt Ritha I pray for consecutive wins, healing, blessing and financial freedom Amen🙏
2026-09-11 13:12:06
0
user8520611178125
Jane :
Amina
2026-08-19 18:38:42
1
user2123506592522
user2123506592522 :
Wanawaombea watoto wangu Innocent, Samuel na Andrew wawe wema na wawe na mafanikio
2026-08-21 17:23:54
2
rithashirima391
Ritha Shirima :
Ee Mtakatifu Ritha wa Kashia Muombezi wa mambo yaliyo shindikana naomba uwe nami katika safar yote ya hapa duniani
2026-09-12 10:21:01
2
rizikiphilip487
rizikiphilipo :
Ee Mr Ritha wa Kashia.naomba umuokoe Mtoto wangu kutoka kwenye Roho Ulevi.na Madeni
2026-08-20 12:25:55
2
user3090711470850
Okumu dory :
Eeh Mtakatifu Rita wa kashia niondolee majivuno na unifungulie milango ya baraka🙏
2026-09-08 19:04:55
2
To see more videos from user @reganvois89, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About