kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-19 15:24:36
1
hawa mwaibula :
mbona wama turaisichia sna yana apo bila ugomvii bila makasilikoo na mimi nakaushaa atakama nitaumia ndio mana akuna kina cho dumu milele sio fulaa🤣
2026-08-19 12:35:37
0
py🦋🌸 :
mara shwaa imeenda😅😅
2026-08-19 09:58:45
1
KING SNEPER :
fresh boy tz anakulinganisha uwezo wako na wake nimwambiaj🤓🤓🤓
2026-08-19 15:43:07
0
🍒mai :
me akininyamazia me nakua bubu afu hua sirudi nyuma
2026-08-19 20:30:04
0
lista Jackson🍎🩵 :
Mwaka mzima 😂
2026-08-19 12:34:29
0
Hellen johnson :
Mm ukininyamazia siku mbil ya tatu kabla sijatoka kitandan nablock number na huna Cha kunifany
2026-08-19 12:14:50
0
To see more videos from user @abumapunda, please go to the Tikwm
homepage.