I'm from Mozambique 🇲🇿 I need to join.what can I do?
you really inspire me bro
2026-08-19 14:29:17
0
Michael_Mtembei :
Wazungu wanasema "He who ignores the wealth of his own home chases after the crumbs of others"
2026-08-19 15:23:01
5
SkyGon :
makini san bro
2026-08-19 08:47:16
3
Simirii Cimotrich :
true story kaka
2026-08-19 15:03:42
0
Rasy :
1st to comment hahaha brother nahitaji unifungilie dm kuna kitu nataka kukuuliza
2026-08-19 08:45:57
8
Beyond The Story :
how to join
2026-08-19 10:46:31
1
Amiri Rajabu :
Kweli niamini Hakuna ukoo maskini duniani Bali u binafsi wetu wa nafsi na ndy Maan Baraka zinakaa mbali nasi
2026-08-19 09:53:34
23
Maswai_Lucia 💞 :
1. Waswahil weng hawatak kuwa kama wewe wanataka kuwa wewe... Hapo ndio anguko linaanzia,
2. Wengine wakipewa support wanaona tayr ni jukumu lako na hajishikilii kwa uaminifu kulinda,mali za familia bali wanaona mali.ya fulan mimi nitapata changu hainihusu,
3. Roho ya kwanini.
2026-08-19 09:17:45
10
COUSIN :
kuna Gharama Ya kujiunga?
2026-08-19 09:41:26
1
Jr 💯 :
group nalipataje
2026-08-19 08:56:06
0
Big zone viwanja nyumba magari :
nakuelewa sana
2026-08-19 08:51:47
1
Irshaad :
na familia zingine huwa hawana habari hata mmoja wao akiumwa,hawana habari. I n a h u z u n i s h a s a n a
2026-08-19 11:02:19
1
Young billionaire🧠 :
I'm a good example 💔
2026-08-19 14:52:18
0
Mwinyi Foum :
Leo mkuu umegusa kwenye shina la msingi wa chanzo cha matatizo yetu sisi watu weusi, mifano iko mingi kwenye jamii na familia. unakuta mtu mmoja anajipata leo.. ghafla anajitenga na wadogo zake lakini ghafla akianguka na hakuwahi kumuinua mtu wa karibu kwenye familia yeye anaishia kua depressed na wengine wote wako hohe hahe na hadithi ya hii familia inakua nianguko kuu na majuto kwa wote . tubadilike
2026-08-19 17:19:11
0
alvin deus :
point sana hii
2026-08-19 14:29:11
1
Calvin :
Fact
2026-08-19 14:02:38
1
samwellimo7gmail.com :
asant
2026-08-19 15:06:15
0
Big zone viwanja nyumba magari :
Amin
2026-08-19 08:51:38
1
user8496659301292 :
vip kuhusu link
2026-08-19 17:53:18
0
Legend Kibopa :
wew. uk
2026-08-19 09:15:34
0
richMo :
wana msemo wao ,ukifa ndio utasaidiwa
2026-08-19 16:03:17
0
Ngonifaceless channel :
Tumeumbwa kuwa wabinafsi, leo nimeshuhudia jamaa zangu wengi ambao walikuwa watoto wa matajiri leo wamebakia maskini, wameuza mali zote baada ya wazazi wao kufa na utajiri umeishia hapo hapo
2026-08-19 16:40:34
0
user4525532105069 :
tunafuata wazungu
2026-08-19 12:46:39
0
Lintu Hussein mataluma :
mungu akuweke kaka
2026-08-19 08:50:15
1
justine :
mtu unambeba alafu yeye ndio anakuwa chanzo la anguko lako .
2026-08-19 08:56:38
1
To see more videos from user @sindano_show, please go to the Tikwm
homepage.