@antsuusimulizi: Kama ungekuwa ni wewe ndiye mke, ungeamua kukimbiza watoto kwanza kufuata ushauri wa mume, au ungebaki tu kama alivyofanya huyu dada? #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #viral #antsuusimulizi #foryou

Antsuu Simulizi
Antsuu Simulizi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 08:37:28 GMT
618673
33711
1562
1543

Music

Download

Comments

rose_munuo
Rose_Munuo :
hongera my🥰
2026-09-07 22:50:21
0
user1758510224602
joyce richard :
Nimepend hii
2026-09-07 21:07:41
0
zacharia.manchan
Zacharia Manchan :
more love
2026-09-06 18:57:47
1
godfrey.matemba1
Godfrey matemba :
asante
2026-09-08 01:00:13
0
imma.mbuya
Imma Mbuya :
Nimelia dada hongera sana mumeo alishakata tamaa tatizo la wababa hawtushirikishi wanayopitia mungu tusaidie
2026-08-19 10:06:12
109
rechojuma161
Recho juma :
wale ndo tumeanza kumuona mara ya kwanza tujuane
2026-08-24 06:59:53
109
martinmarwa2
Martin marwa :
dada mungu akutie nguv hakun mke kam ww
2026-08-22 20:27:37
21
xwachi_boy594
lady mishii :
Mm wangu ataenda mwenyewe juu pesa zake sijui zinaendaga wapi nayupokazini
2026-08-19 15:20:53
40
rufinatarimo300
fadhila🥰🥰🥰 :
hongera sana dada kwa ujarsiri wako
2026-08-23 10:25:54
10
jenifachristian42
🎁🍓🍇 :
inategemea tunaishije humo ndani laa sivyo kitamramba
2026-08-19 16:06:02
9
user454227469797
Samson. nestory nkono :
kama ni kweri UBARIKIWE SANA MAMA
2026-08-19 19:12:55
19
user4473203963512
Hadija Muunguja :
sawa dada lakini, sisi tukipata tatizo huwa wanatukimbia
2026-08-20 09:24:51
5
saumu0089
saumu hamisi 0089 :
dada umenifanya nilie bila kujua
2026-08-19 10:32:01
13
prudencepaschalka
Prudence Paschal Karugaba :
thanks, nimekupenda bure mama 🙏🙏
2026-08-19 12:43:18
7
user1297229676
Fatima Fatima :
Daaaah Hong era dada
2026-08-19 14:31:20
5
user5651062423426
Elizabeth🌿💘 :
wawo huyo ndomkebola nimeipenda sana mungu ajalie maishamema 🙏
2026-08-21 10:45:47
9
juckline.daniel
Mama G :
mungu naombaa moyo wa huyu dada
2026-08-19 10:32:23
9
user8276902059841
loveness niko :
Mungu akupe maisha malefu mama
2026-08-19 13:11:54
5
selina_madinda
selina madinda :
@hongera. sana. ndiyo maana ya ndoa
2026-08-19 16:00:11
5
user9611033962493
Edith@123 :
hongera sana dada ni wachache sana wenye moyo huoo🥰🥰
2026-08-19 16:38:22
8
bayanni.fun
Ester Kimaro :
nipekupenda unaupendo wa agape mungu akubariki
2026-08-19 12:41:25
6
rosephales10
Rose Phales :
mungu alikua katikati yenu
2026-08-29 19:09:16
5
user69415422345346
mama nice :
ongera dada ata Mimi nishayapitiya hayo kipenz
2026-08-19 14:18:03
6
user2113332161761
Noela tz :
ni kweli dada sometime sisi wanawake huwa tunahuruma sana mwanaume akiwa na changamoto unamjali unamsaidia lakn wao hawana huruma na sisi
2026-08-19 20:07:30
5
secilia.mamnjeja
Secilia Mamnjeja :
kwer unaupendo sn dada hongera
2026-08-19 10:25:33
5
To see more videos from user @antsuusimulizi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About