@benkuafit: KUFANYA MAZOEZI KULINGANA AINA YA MWILI Nivyema sana kuanza safari ya mazoezi na lishe kulingana na aina ya mwili uliokuwa nao ili kuweza kupata matokeo mazuri na kwa wakati. NI VYEMA na inashauriwa Kwa mtu mwenye mwili mkubwa kufanya mazoezi ya kunyanyua uzito x3 kwa wiki na kufanya mazoezi ya cardio(mazoezi ya pumzi) mara x5 kwa wiki #women #men #wanawake #Fitness #trend