Brig Sijaona Myala wangemuacha pale Rts Kihangaiko alikuwa amepaweza sana.
2026-08-19 09:22:09
12
linus :
ivi bro una kazi gani maana nakubali sana 👏👊
2026-08-19 09:29:35
11
Abra :
wao wenyewe wameamua Hizo operation zao ziwe classified Ops wewe umekuja kuzisema kwa majina 😂😂😂😂😂
2026-08-19 12:06:52
4
DvydM :
lakini nina swali hizi zote ni strategic moves ndio lakini are they long term strategic moves huko zambia ukianguka uongozi wa hichilema huko mbele maslahi yetu bado yataendelea kulindwa huko congo vita vikizidi ushawishi wetu utaendelea kuwepo vipi uganda tunahitajibkufanya uwekezaji mkubwa utakaotulipa mbeleni hapo ikiwemo silaha uzalishaji na utulivu wetu wa ndani sanasana
2026-08-19 10:32:06
1
King Of Usambara 🇹🇿 :
professor kijana wa mwaka wambele elimu kubwa kwanjia nyepesi kabisa🫡🫡🫡
2026-08-19 09:16:55
5
Enock Makoga :
kwenye mambo ya nje tunaenda vizuri sana lakini kama ndani hakupo vizuri hata hayo mazuri ya nje hayatakuwa na maana yoyote maana bila wananchi kuwa huru kwenye nchi yao na utulivu na amani ndani ya taifa hayo mafungamano hayatakuwa na manufacturing yoyote, taifa linahitaji watu,aridhi,siasa safi na uongozi Bora wa kweli ili kupata maendeleo ya kweli
2026-08-19 12:54:32
2
𝐁𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫𝐬𝐁𝐫𝐚𝐧𝐝 :
story ya mkuu wa mkoa imeishia wap
2026-08-19 17:08:14
1
H30R :
uwa ukiongea masikio yangu nayapa utulivu Mkubwa ili nielewe Unachozungumza big up
2026-08-19 09:26:56
1
BABA MII :
Tanzania inakuwa get way kwa kigezo gani? kenya wanafwata democrasia
2026-08-19 09:48:23
0
clever9 :
haya mambo yaserikal ukiyafatilia kwa umakini utagundua hizi serikal kuna watu wanaziongoza ambao sio hawa tunaowajua
2026-08-19 11:47:46
8
chosen one :
Nilitamani sasa wapinzani wa Tanzania wakishikamana na serikali ili nchi ipate maendeleoo
2026-08-19 16:13:27
3
J mongo :
Dogo una akili sana,, nakufatilia sana, unajua vitu vingi,, ukitulia utafika mbali sana
Big up
2026-08-19 12:45:11
2
Nsangila II 🌟🏆 :
sijawahi kupita video yako kak
2026-08-19 17:22:07
1
Mkemia Official :
Ukweli mtupu umesema, watu wamekalili maendeleo ni yale unayoyaona kwa macho, ila hawajui hayo ni matokeo ya mchakato ambao huwezi kuuona kwa macho bali kwa akili. Lazima ujue kushindana na mpinzani wako na kuwavutia majirani zako wawe washirika wako wa kibiashara.
2026-08-19 12:11:39
3
UNITED🕳️ :
FARHAN pongezi sana aseeh unafanya tuone jeshi letu linafanya KAZI kitu ambacho watu wengi wanadhani wamebweteka tu shukran sana ,KAZI zinafanyika sana naam
2026-08-19 16:48:48
1
Mussa Mazao :
Vipi Kuhusu ziara ya Rais wa Misri
2026-08-19 09:02:51
1
To see more videos from user @farhankihamujr, please go to the Tikwm
homepage.