yaani kibomba maisha uliyopitia hayana tofauti na mim ,,Mungu akuinuiwe tu mpenzi tusubir na sis zamu yangu☺️☺️
2026-08-20 06:20:21
80
sweet_nova🌸 :
nimetoka kuangalia interview yako ya crown YouTube after all ulopitia still u are a brave gurl mungu azidi kukuonekania🫂
2026-08-19 19:02:48
49
Nyiha Girl 💋 ❤️ 🦋 :
umeokoka Umezidi kua Mrembo Mashallah 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-20 11:55:07
20
princess_happy :
samahan jamani naomba kuuliza ivi hiyo ywele inaitwaje
2026-08-21 16:11:39
5
Busra💦🦋 :
wa kwanza leo kwa kibomba uwiiii🥰🥰🥰
2026-08-19 08:47:49
14
Carene'❤️ :
NEEMA INAPOKUSHUKIA BWANA HAIANGALII UNAFANYA NINI,WATU WANAKUONAJE ILA HIYO NEEMA IKIKUSHUKIA MY FRIEND KUNA JAMBO JIPYA LINACHIPUSHWA ALAFU YALE YA KALE YOTE YANAPITA
🥰
2026-08-19 09:04:59
33
Jacky beuty🔥 :
Nime kuwa wakwanza ku like 😂😂😂
2026-08-19 08:47:51
2
Lilian :
Shetan alitaka ualibikiwe bint mzuri mwenyewe ona sasa Mungu alivokuinua penda sana😍😍
2026-08-19 12:57:40
14
Malaika 👑 :
Juliana wangu miss you 🥰🥰🥰
2026-08-19 09:02:35
0
eden_choiceperfume :
nikawahi😃
2026-08-19 08:48:10
1
Zen :
Full km ulivyovaa n shlng ngap
2026-08-19 15:04:25
6
cute warda :
pole dada una maadui wengi sana
2026-08-21 06:02:37
2
evam🦋🥀 :
nimejikuta nakupenda sana saiv dada angu may God bless you🥰🥰 ukimuangalia bila makasiriko ni mzr bhn♥️