kwan hivi tunavo ungozwa nd alivo amrish mwenyez mungu
2026-08-19 10:53:57
4
BOO :
vp kuhusu nabii tito mungu
2026-08-19 16:29:20
1
GENERAL🇹🇿❤️ :
dah wtu washapanguka tyr tufanyeni sana ibada mmbo yatakaa sw
2026-08-19 09:36:47
3
manja :
poa brow utatoboa
2026-08-19 09:28:35
5
🇹🇿🇹🇿NINJA🇹🇿🇹🇿 :
sio mzanzibar uyoo
2026-08-19 17:46:38
1
Yussuf518 :
nyie 😂😂😂 kuna part 2 yake huy dogo
2026-08-19 16:38:25
2
jumahaji970 :
ume ongea yamana sana ila ila jamani tunatetea demokrasia ila sisi wesilamu haituhusu ilo py tuwe nalo makini siungi mkono kutukwana na dini haija tuambirisha ivo kaka
2026-08-19 18:22:39
1
Abuy negative :
Faza semaji umeongea point asaa wallahy sio vizuri jamaa kitendo alichokifanya Allah atamuhukumu inshaallah viongozi wetu wanajitahid