@dalali_zanzibarone: ##Zanzibar #Mchangani #ZanzibarProperty #PropertyForSale #RealEstateZanzibar JENGO LA KUUZWA MCHANGANI – ZANZIBAR 🌴🏢 🔥 BEI: TSH 800,000,000 Tunauza jengo lenye fursa kubwa ya uwekezaji, lipo Mchangani, katikati ya Mji wa Zanzibar. 📐 Ukubwa wa eneo: Mita 24 × 12 🏠 Jumla ya vyumba: 11, ukiunganisha na nyumba ya chini 📍 Lipo karibu sana na Soko la Nguo. 🛣️ Lipo karibu sana na barabara kuu 🚧 Pia kuna barabara ya mtaani ya zege inayopita karibu na eneo hili. 💰 Eneo hili ni zuri sana kwa uwekezaji, biashara, upangishaji na matumizi mengine ya kibiashara. 🌍 WAWEKEZAJI WOTE MNAKARIBISHWA! 🇹🇿 Tanzania | 🇴🇲 Oman | 🇬🇧 UK | 🌍 Popote pale mlipo. 🔥 MATAJIRI WA ZANZIBAR, FURSA NDIO HII! 📞 MORE INFO: +255 686 230 110 +255 776 109 092
Dalali Zanzibar one HD
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 09:05:32 GMT
Music
Download
Comments
user4190484626615 :
ilo gofu bwana
2026-08-19 12:46:16
8
mrs.afnour :
hiyo nyumba inahitaji kuekezwa tu ila ipo pazuri mashaallah
2026-08-19 15:48:29
2
Swahili Media Network :
Sasa takriban vyumba vinane au ina vyumba vinane. Kiswahili chetu hatujui kukitumia 😳😳
2026-08-19 16:27:32
1
Dax :
Bei gani
2026-08-19 15:21:31
0
ImFamousSons. :
kiasi gani boss wangu
2026-08-19 14:55:03
1
zegeju :
watanganyika wanaruhusiwa kununua?
2026-08-19 17:06:52
0
blacklion :
🤣🤣 yaonyesha karibu itaanguka...
2026-08-19 13:05:56
0
Jamal Nassor :
bei
2026-08-19 09:39:26
0
Marym Aboubakar :
marekebisho tu inshaallah
2026-08-19 15:27:37
0
sarhan :
hiyo ni kiwanja ukifanya mchezo umeporomoka
2026-08-19 18:49:25
0
eddi.esleyoum :
bei plz
2026-08-19 19:05:03
0
super power :
wallah ni jana. tu nilikuja kukaa ktk nyumba hiyo na sijawahi hata siku moja kukaa nje ktk nyumba hiyo nikaongea na rafiki yangu Sleman amepanga
2026-08-19 19:21:09
0
blacklion :
hiyo iko mchangani, na matopeni..😂😂
2026-08-19 13:09:57
0
Official_dhila_01 :
Bei gani
2026-08-19 17:55:25
0
blacklion :
nyumba 8 , kusudia flats 8..
2026-08-19 17:36:57
0
To see more videos from user @dalali_zanzibarone, please go to the Tikwm
homepage.