@mshindi.wa.kesho: #Mshindiwakesho

Mshindi wa Kesho
Mshindi wa Kesho
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 09:17:35 GMT
228077
33099
1711
1898

Music

Download

Comments

user860865074472mmbaga
@mmbaga :
u desve to be a pastor
2026-10-08 23:34:51
0
officialg422
🦋🦋official Gee❣️ :
Ooh Bila Mungu dunia nzito 🥺🥺🥺
2026-08-20 11:28:01
237
halimamishi4
HA🩵LI🩵MA🩵 MAMA'S BOY🩵 :
nilizaa after 2weeks nikaenda hossy nikangaliwa Mimi Niko sawa mwanangu ALIKUA na uvibe kwa kichwa mkubwa na doctor akasema mguu WA mwanangu hauko Sana atakua na kilewa nikandikiwa kuenda kumuona doctor WA MIGUU akaniambie niende Monday niliandika maombi nilivyo fika nyumba nikaanza kuomba kila cku uvimbe umeisha na mguu anakangaga nataka nikienda clinic nimfute huyo doctor nimwambie ona matendo makuu ya MUNGU
2026-08-21 17:40:02
131
gladnesszakayo523
Glady💯💋🫂 :
Oooooh thanks lord🤲
2026-08-27 23:33:48
7
ms_money76
DoR3eN GoDfR3y🦋 :
MUNGU NDIYE MUWEZA WA YOTE , HAKUNA LINALO MSHINDA 🔥
2026-08-20 15:56:39
82
neemadaniel20
Neema Daniel :
ameni Barikiwa sana
2026-08-19 18:57:01
55
eliza.trasisi
Eliza Trasisi :
mungu nisaidie nikujue
2026-09-02 06:27:33
12
jooh0154
Jooh :
Asante kwa neno hili 🙏
2026-08-19 21:03:59
21
rachael.mzima
Rachael Mzima :
Mungu atusaidie ili tuone uwezo wa wa Mungu tukiwa kwenye changamoto
2026-09-22 20:45:59
5
happy.baby552
happybaby 🍓🍓 :
amina sana 🙏🙏 kuku tana naujumbehuu nibaraka sana hakika nitatembea nikimtumaini bwana milele
2026-08-22 12:18:00
21
regybon
𝓶𝓪𝓶𝓪 𝓷𝓽𝓪𝓻𝓾𝓰𝓮𝓵𝓪𝓪 :
natamani niwe napata aya mafundisho kila siku🙏🥹
2026-08-20 15:16:09
11
gift_of_god24
GIFT OF GOD 🥇 :
ubarikiwe kaka kwa kutufungua akili
2026-08-20 05:14:23
8
jokge7
Joyce 🐇 :
ameni barikiwa sana kaka🥰
2026-08-19 19:49:20
9
01.herieth
Herieth Emmanuel ❤️ :
Amina na Mungu akubariki sana.
2026-08-20 09:05:20
9
salimo.andre.kund
Salimo Andre Kundibwassa :
asante mungu kwa hii
2026-08-21 08:13:40
5
user3925088441472
mbotelabahungu :
hakika na kweli ukimtegemea Mungu ww ni mshindi.
2026-08-21 14:32:33
8
user4690186986982
user4690186986982 :
ooh hakika wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni nao hawatatikisika kamwe 🙏🙏🙏🙌
2026-08-21 12:07:58
5
soxy293
jo mo :
Amina
2026-08-21 02:22:11
2
trustboe19
Trust Boe :
good umetugusa sana
2026-08-20 08:48:21
5
safiricha
rishca :
mungu nina Imani nawewe
2026-08-22 01:24:15
8
elly.jeu
Viwanja dar es salaam,dodoma :
nimekutana na ili neno asubuhi hii naamin mungu atazifu kunijaza roho mtakatifu 🙏 kuanzia now on🙏,na kila kitu kitakuwa sawaa kwenye maishaa !! mungu mkubwa kwangu napokea kila kitu kwa uweza wake na uweza wa roho Mtakatifu 🙏 amen
2026-08-20 06:37:47
10
fhil000z
™fadhili $ :
umenifaliji sana nilikuwa nishapanga jum2 nifanye ujinga
2026-08-21 07:26:51
17
5306331175281paulfrederi
Paul frederick paul :
nikweli kaka Mungu akubaliki kwa ujumbe huu
2026-08-28 05:18:08
6
janethjohn775
Janeth John :
MUNGU ndo king wa ulimwengu
2026-08-21 06:20:48
9
geancy.fwamba
MINISTER G FWAMBA :
thanks for the massage may God bless you brother
2026-09-05 00:42:20
7
To see more videos from user @mshindi.wa.kesho, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About