Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@realmemesita: IG: @realmemesita #meme #memeita #memes
realmemesita
Open In TikTok:
Region: IT
Wednesday 19 August 2026 09:20:13 GMT
2914
281
1
92
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
To see more videos from user @realmemesita, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
This skirt is so bouncy hehe :3 #grungegirl #altfashion #egirldance #fypage
#CapCut #منشن_للي_تحبه❤️🥰 #اعادة_النشر🔃😔🥀💔 #محضوره_من_الاكسبلور_والمشاهدات
#creatorsearchinsights #creatingviralcontentontiktok Kwa kijana mwenzangu, wa kike au wa kiume… tafadhali nisikilize. 😔🤍 Najua maisha yanaweza kuwa magumu. Unaweza kuamka kila siku ukiwa na ndoto kubwa, lakini mfukoni huna hata pesa ya kutimiza mahitaji yako. Unaona wengine wanavaa vizuri, wana simu nzuri, wanaenda sehemu nzuri, wanaishi maisha unayoyatamani… halafu unaanza kujiuliza: “Kwa nini mimi sina hivi?” Na hapo ndipo wengi tunapokosea. Tunatafuta shortcut. Tunatumia miili yetu ili tupate pesa. Tunatumia mapenzi ili tupate msaada. Tunauza heshima yetu kwa starehe za muda mfupi. Tunakubali mahusiano tusiyoyataka kwa sababu tu mtu ana pesa. Tunatumia kile tulichonacho leo ili kupata maisha mazuri ya leo—bila kufikiria maisha ya kesho. Lakini ukweli mchungu ni kwamba: Hakuna maisha mazuri ya kudumu yasiyohitaji jitihada. Kitu unachokipata kwa urahisi sana, mara nyingi unaweza kukipoteza kwa urahisi pia. Usikubali umasikini ukufanye uuze utu wako. Usikubali presha za marafiki zikufanye uharibu maisha yako. Usikubali tamaa ya kuonekana una maisha mazuri ikufanye usahau unakotaka kwenda. Huna gari leo? Jitahidi. Huna nyumba leo? Jitahidi. Huna pesa nyingi leo? Jitahidi. Unaanza na sifuri? Anza na sifuri. Jifunze. Fanya kazi. Tafuta ujuzi. Anza biashara ndogo. Kubali kuanza chini. Kosea, simama, jaribu tena. Usione aibu kuanza kidogo. Aibu ni kuacha ndoto zako kwa sababu tu hukupata maisha kwa haraka. Na kama leo unaona wenzako wamekuzidi, usijichukie. Huenda safari yako bado haijafika kwenye sehemu yake nzuri. Usitumie mwili wako kununua maisha ambayo unaweza kujijengea kwa mikono yako mwenyewe. 😔 Mali inaweza kuja baadaye. Simu inaweza kununuliwa baadaye. Gari linaweza kupatikana baadaye. Nyumba inaweza kujengwa baadaye. Lakini utu wako, heshima yako na amani ya moyo wako ni vitu vya thamani sana. Kwa kijana anayelia kimya kimya kwa sababu maisha ni magumu… Usikate tamaa. 🥺 Kuna siku utakuja kuangalia nyuma na kujivunia kwamba hukuuza maisha yako ili kupata maisha ya haraka. Maisha mazuri hayajengwi kwa shortcuts. Yanajengwa kwa subira, nidhamu, maamuzi sahihi na jitihada. 🤍 Usitumie mwili wako kutafuta maisha mazuri. Jenga maisha ambayo siku moja yatakufanya useme: “Niliteseka, lakini sikukata tamaa.” 🕊️
@💨💥 عمر بلوچ 302💫
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy