@esko_donald: Mtumishi Isaya anasema yeye kwa siku anakula mara moja tu! Tumfunike Isaya na Mwavuli wetu kupitia Airtel namba 0691337252 (Extravery Urassa) #TheUmbrella #TheUmbrellaFoundation #sns

Esko Donald
Esko Donald
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 09:27:05 GMT
179142
15521
485
182

Music

Download

Comments

pendo5876
Rachael Ray :
Imagine kuona njaa kama lawaida 💔💔💔😭😭na vile chakula Tanzania ni cheap. Let's learn to appreciate God 🙏 😌
2026-08-19 19:23:15
0
vumy2530
V🍇🍇 :
tujifunzeeee.tukome kutupa chakula ni DHAMBI
2026-08-19 10:26:29
410
herieth94
lexie :
kil nikion video ya uyu nascroll maan ntalia
2026-08-19 20:42:44
0
bieh_store
Realbieh :
Tujifunze kushukuru katika kila jambo 🙏
2026-08-19 09:33:13
217
blackberr244
🐻🍫 :
TABASAMU USONI.MAUMIVU MOYONI 🥹💔
2026-08-19 09:46:23
123
upendo524
Upendo :
Mungu nisamehe🥺nakula na kusaza na sishukuru 😔😭
2026-08-19 17:36:07
31
judithmongi
Judithmongi :
kaka naomba nna chochote kitu nimpatie naomba namba please
2026-08-19 12:26:44
64
user20245187chichi
Chichi🧚‍♀️💜 :
yuko wap niwe nampelekea chakula kila siku
2026-08-19 10:55:32
67
momolove694
👑momo🐿️🌸 :
Licha yayote anafuraha🥹🥹
2026-08-19 10:17:26
14
vailethmagege331
Vaileth Magege :
kicheko usoni ila moyoni anamaumivu makubwa sana anataman atoe machozi lakin palipo esko tunaamin Mungu ameskia case yake
2026-08-19 10:30:49
31
biashara_za_jackie
BIASHARA_ZA_JACKIE🍃❤️ :
Mungu Mimi napitia changamoto...Lakini naomba nisikulauma na nisikusahau Mungu wanguh...Yeremia 33:3
2026-08-19 09:30:20
22
ritty2478
ritty :
Mbali na magumu bado anatabasamu jaman uwii🥺
2026-08-19 09:38:45
16
jackybless8
jackyBless :
We maisha wewe🥹🥹🥹
2026-08-19 09:43:17
1
nesterjuliana1
nesterjuliana1 :
Naomba namba nimtumie chochote japo nami niwakawaida tu ila nimeguswa🥰
2026-08-19 16:28:23
7
obeidadrian
obeid edward :
life is not fair 💔
2026-08-19 09:37:56
0
stanslausngunda
STANSLAUS NGUNDA :
Nimekaa dar 10 years with 5 years kama hustlers ila actually dar kazi (Mishe) zipo za kumudu maisha lakin inahitaji network kuzipata lakini huyu kijana mwenzangu pengine hana network ndio maana Kafka hapa lakin Mungu ana mkono wake atainuka wallah mi toka nasoma chuo nilikua saidia fundi mtiifu na nilimanage hata kulipa Kodi ya 70k monthly ad pale nikaajiriwa lakin huyu kijana mwenzetu hata network ya kutosha ila naomba Mungu atampa uzuri anaonekana n mpambanaji haswaa
2026-08-19 09:48:26
47
mchami013
Ms-Mchami❤️‍🩹💫 :
Ee Mungu nisamehe nilipolalamika😭🙏 kaka Esko barikiwa🙏
2026-08-19 10:03:20
14
gatty0200
Gatty_Royal_Cakes👑🎂 :
😭😭😭Ehee Mungu tuepushe na Umaskini.
2026-08-19 09:40:51
14
glorygodwin09
glorygideon uzao mteule :
najikuta nalia tu nikikutana na clip za huyu mpambanaji mwenzangu.tabasamu usoni ila maumivu yake Mungu anayajua
2026-08-19 12:24:24
7
damerry21
İţ'ṣ̌🌺damkubwa :
jamn kunawatu wanapitia magumu aise mwavuli umfunike tafadhali ooh🥺🥹😭
2026-08-19 09:40:47
15
marwathomas4
Doublem :
Nawaza sana wazazi walikua wanatoa chakula wapiii me mwenyewe najionaa mzigo....
2026-08-19 18:09:45
7
fetty49857
fetty💞 :
maisha hayaaa
2026-08-19 09:34:02
10
1stborn_22
I'm Saeed🫥 :
kumbe anakula kabisa na kuna watu hawali kabisa🙌🙌🙌
2026-08-19 16:31:19
1
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About