@mathayosangason: Mnaswma kirahisi sababu sio familia zenu zilizofanyiwa hivyo ila ingekuwa familia yako sidhani kama ungesema hivyo ๐๐ฒ๐'๐ ๐ง๐ฎ๐น๐ธ ๐ฎ๐ฏ๐ผ๐๐ #๐๐ผ๐๐ฒ #๐ฅ๐ฒ๐น๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป๐๐ต๐ถ๐ฝ #๐๐ถ๐ป๐ฎ๐ป๐ฐ๐ฒ #๐๐๐๐ถ๐ป๐ฒ๐๐ #๐ง๐ฒ๐ฐ๐ต #๐๐ฒ๐ฎ๐น๐๐ต #๐ฃ๐ฒ๐ฟ๐๐ผ๐ป๐ฎ๐น_๐๐ฒ๐๐ฒ๐น๐ผ๐ฝ๐บ๐ฒ๐ป๐ #๐ง๐ฟ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ถ๐ป๐ด #๐๐๐๐
Usisome biblia kama gazeti Mungu ni Mwaminifu kwa akili za kibinadamu utakuja kukufuru kaka acha kabisa Mungu sio Muuaji soma vzr
2026-08-19 11:56:04
2
putin :
ilikuwa kwaajir ya ulimwengu lakin kuna mengi watuwanakutana nayo zaid ya hayo so sio point muhm kaka
2026-08-19 10:36:52
1
stonekid29 :
tutaelewanaa tuu twende taratibu kaka๐๐
2026-08-19 11:01:04
1
jowly :
๐๐๐ kweli Bible ni kama bongo movie
2026-08-19 10:06:00
1
tusome wote :
wewe unatakaje sasa
2026-08-19 13:17:26
0
Safari Lushinila :
ila duuuuu jambo la kufikilisha et
2026-08-19 18:56:13
0
Baba Tiffah :
Dah aibu naona mm
2026-08-19 16:05:36
0
Mi@m shift ๐ฝ :
Aibu naona mm shetani anapendwa kuliko mm๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-08-19 16:59:27
0
Abiya :
nasio kufa tu walikufa vifo vya mateso na je Mifugo ilikuwa na kosa gani mazao yalifanya nini Ayubu aka pigwa kwa magonjwa yasiyo pona
2026-08-19 14:22:49
0
moses gospel :
yeye ndie aliyenipa uzima alichagua niishi ko anaweza kuchagua chchte pia
2026-08-19 12:43:41
1
Mfalme Gwamanya :
tafuta pesa kijana, mambo ya Mungu huyawezi
2026-08-19 10:41:11
2
Aston John Carter :
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. [1 Wakorintho 2:14] UKITAKA KUELEWA VIZURI NENDA KAANZIE KUSOMA 1 Wakorintho 2: 9 mpaka 15โฆ BIBLIA HAISOMWI KAMA GAZETI AU STORY TU ZA MTAANI.. MUOMBE ROHO MTAKATIFU AKUFUNULIE MAANA YA HAYO MAANDIKO
2026-08-19 11:29:03
2
pappayake mafresher :
kwanza shetani hayupo visingizio too
2026-08-19 20:19:43
0
user88693361932 :
sio mimi bwana aue nani?
2026-08-19 13:33:50
0
Mike Tyga :
kwani ukifa wewe unapata hasara gani
2026-08-19 16:34:01
0
FR-CHILLO COMEDY :
mambo ya mungu achia ma pastor wafanye biashara tu๐คฃ๐ ๐๐
2026-08-19 14:42:08
0
Dr_chris7 :
Kwahio umesoma kabisa ukaona Mungu ndio aliwaua watoto wa Ayubu
2026-08-19 15:34:21
0
EmHustle :
duh!kwel bwana content creator ni weng siku izi,usitafute followers kwa kumdhihaki Mungu kak,fanya utani na wanadamu na sio Mungu.
2026-08-19 19:55:39
0
LABANEZ :
upuuzi ni neno kuamini ndo linasababisha upuuzi mwingne wote
2026-08-19 17:24:00
0
alikeblian :
๐น๐ฟ
2026-08-19 10:25:49
0
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm
homepage.