wangesubir next mouth tareh kama hii ingekua bomba zaid
2026-09-29 14:13:47
6
home boy :
ivi kwanini police wasiwe madereva maana wanazijua Shelia za barabarani wawaajili kama vp
2026-09-29 11:53:17
33
m.kor~ fashion :
IVI TAREHE 29 INA SHIDA GANII?🤔🤔🤔
2026-09-29 11:30:46
15
Mtwango boy 🛣️🛣️🛣️ :
mm ndo naingia Tanzania nilikuwa CONGO Kuna nn jamn
2026-09-29 10:49:29
21
G :
umepost kitu gani hatuoni picha vizuri
2026-09-29 10:54:37
6
BEA SIMBA :
waendeshe wao wanaokata point
2026-09-29 09:58:41
15
Junior 14_🛍️ :
Create problem and solve 😂
2026-09-29 08:53:33
4
YemenBoy :
Hii ni siku nyingi sio leo
2026-09-29 12:05:08
1
raymond :
nini tena jaman
2026-09-29 11:04:06
0
j.foo :
hiii nchi hii inashida sana Yale ya uchaguzi ayajaisha mnachokoza mengine ivi serikali ilio madalakani sijui mna nini mngejua awa mnaowaongoza wenyewe awawataki Bado mnawachokonoa tena wakati huu ilitakiwa mtulie tu kwanza
2026-09-29 11:22:37
5
saidiallymogelela :
itakua vzr sana kama polic wapewe wao magari waendeshe maana wao ndio wanaojua sheria nazani hakutokua na uvunjaji wa sheria
2026-09-29 12:06:06
1
miraji jumanne :
zichapeni sasa
2026-09-29 12:15:37
0
omar TZ :
imekuaje
2026-09-29 09:42:19
0
ADAM MUSA :
sija elew
2026-09-25 11:26:17
2
Najim Navic :
safi sana
2026-09-29 11:41:05
0
Mwamba Alley :
kumbe
2026-09-29 12:03:19
0
Chaga girl ♥️♥️ :
wachaga tunajua kutafuta hela ? alichokifanya nichamaan sana siwez kuacha Mali yangu olela olela
2026-08-19 16:55:06
3
ester❤️❤️❤️ :
saw mm nitafute hela alafu mnifosi nipaki magari stendi