@swiiftiphonecenter: WhatsApp yako inaweza kuwa salama zaidi kuliko ulivyoiacha sasa hivi! Watu wengi wanaweka password kwenye simu, lakini wanasahau Two-Step Verification ya WhatsApp. 📱 Ikiwashwa, inaongeza PIN ya ziada wakati WhatsApp inapohitaji kuthibitisha namba yako—ulinzi muhimu dhidi ya mtu kujaribu kuchukua account yako. ⚠️ Lakini kumbuka: Two-Step Verification si guarantee kwamba WhatsApp account yako haiwezi kuzuiwa/restricted. Usalama wa account pia unategemea kutokukiuka WhatsApp policies, kuepuka spam na kutumia official WhatsApp. 👉 Washa leo: WhatsApp → Settings → Account → Two-step verification → Turn on 💾 SAVE hii video na mshirikishe mtu ambaye bado hajawasha hii security feature. Account yako ni mali yako. Linda kabla hujapata tatizo. 🔒 #WhatsAppSecurity #TwoStepVerification #WhatsAppTips #PrivacyTips #TechSwahili
Yan password it's very helpful kuna mda unakaa unapokea password verification kweny WhatsApp yako Yan inakuwa kuna mtu anatak kuitumia whatsapp lkn anashindwa
2026-08-20 02:59:45
1
Amanda Nelson :
Yangu imepotea jana
2026-08-19 15:54:29
2
BE HUMBLE :
nimetoka kuisett saivi tu Asante 🙏🏿San bro. ilikua changamoto sana kaka
2026-08-19 19:50:42
2
munez_47 :
shukran
2026-08-20 03:29:49
0
Steven Massawe :
WhatsApp
2026-08-19 17:32:33
1
pretty :
whatsaap
2026-08-20 04:05:31
0
nancy :
asante nimefanikiwa na mm ilikuwa hivy asante kak angu
2026-08-20 03:21:04
0
kifie tz :
pls nisaidie jaman m yakwangu ina sumbua.😭😭😢
2026-08-19 12:02:36
0
Fundikila Outfit store👗👖🛍️ :
Mbnaa nafanya hyo setting but inataka tenaaa imail lakn
2026-08-20 04:00:33
0
user8250611562549 :
kama imesha potea nafanyaje mkuu
2026-08-19 10:25:36
0
Swaum Athuman :
Ni kweli kabisa ishanikuta wiki 2 bila kitumia Whatsapp.
2026-08-20 00:11:12
0
J&H Fashion Collection. :
Mimi nilieka but haikuketi one week ikaniitisha nieke verification mpaka leo na ignore hiyo kueka pin juu nahofia ikawa ni mtu alikuwa kuingia,ama uki set baada ya siku nne Yaaa kukuitisha uweke pin bila wewe kuenda setting🤔
2026-08-20 03:36:43
0
king Steve👑 :
nifundishe namna ya call record kwenye Samsung A05
2026-08-19 10:11:58
0
@Sir God 🙏...!! :
Whatsapp
2026-08-20 04:23:22
0
user3312791785534 :
WhatsApp
2026-08-20 02:04:46
0
Kristian mapendo :
Whatsapp
2026-08-19 19:48:24
0
golden Bee oo7 :
WhatsApp
2026-08-20 08:24:56
0
@{kichn💞💋} :
bro ya kwang imepotea yn nikajarb lak Cody zikaw hazij mpk nikachnge no nying sas nifanye ili nirudish no yang Ile ili ya mwnz
2026-08-20 05:25:51
0
David Edison :
mm imenitokea
2026-08-20 06:05:37
0
💗HUMBLE WOMAN❣💗 :
Watsapp
2026-08-19 18:45:18
0
Manguchief21 :
WhatsApp
2026-08-19 18:11:54
0
kartina296 :
Me mwenyew nilipoteza juzi 🥺
2026-08-19 17:40:51
0
kifie tz :
nisaidie m kwanza ata haifunguki
2026-08-19 12:04:43
0
To see more videos from user @swiiftiphonecenter, please go to the Tikwm
homepage.