@binaupdates: Mapokezi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam Albert Chalamila akiwasili hapa kwenye Stand kubwa ya magufuli Dar es Salaam ni shangwe tu

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 10:23:45 GMT
116167
3183
320
101

Music

Download

Comments

joyce.macha3
joyce macha :
dah bado tuna safari ndefuuu
2026-08-19 11:01:59
12
swidiyq.dauda
Swidiyq Dauda :
hii mitanzania bado ipo kizani sana
2026-08-19 12:08:53
12
mulattojunior
Mulatto junior :
Polisi wengi kuliko raia😅😅😅
2026-08-19 11:36:06
21
yohanamaseazon
YOHANA MADUHU √ :
dunia hii bwana wengne walia wengne Wana frahia mh 🥺🥺
2026-08-19 10:30:10
41
user3875538271902
Thom De Wil :
create problems,then solve them
2026-08-19 17:04:21
1
captain.ilocs
Captain.ilocs (Mr Adabuga) :
kila mtu huvutia anakopata faida fullstop
2026-08-19 11:33:37
18
..princess.wa.mama
..Princess ❤️ wa mama 🇹🇿.. :
Magu leo alipo lala anae raaaaa🥰🥰🥰
2026-08-19 11:00:07
16
bonge.mwepesi7
bonge mwepesi :
katika nchi watu hawajui wanataka nini ni tanzania
2026-08-19 11:30:25
7
donn.tz4
Donn Tz :
Shekilango kilio Mbezi Furaha
2026-08-19 11:17:58
7
misslee632
MissOli👩‍🦰💞 :
ndoman viongozi wanapenda wananchi tuendelee kuwa maskin ili watubebe ufala kama ivi 😏
2026-08-19 10:43:36
13
kihesa5
People you may know :
wananchi hawaeleweki sasa yani nitoke Toangoma mpaka mbezi kilometa zaid ya 40 😥
2026-08-19 10:53:06
12
bahatichikusi
bahatichikusi :
hao wamelipwa
2026-08-19 10:40:46
7
nobertn
nkumbi22 :
Exactly
2026-08-19 11:51:52
0
mwinyi739
mwinyi :
guest yangu ya 15k full AC saizi sitaigusa tena
2026-08-19 11:46:51
5
user8281618476091
user8281618476091 :
hii ndo Dar ina watu ambao hawaeleweki ukiwafatisha unaweza kuwafyeka wote wakitoka hapo wanaanza kumlalamikia et Kiongozi wa CCM hafaii
2026-08-19 11:33:00
7
aloycetemu860
Aloyce Temu :
sio wananchi sema ccm wananchi hawana izo nafasi skuizi
2026-08-19 18:04:22
0
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-19 13:10:49
0
chosen.one2683
chosen one :
Magufuli atakuwa amefurahi huko aliko.
2026-08-19 16:18:04
1
octaswai
octaswai :
tunalia weng furaa kwa wachache
2026-08-19 13:36:29
1
st73ephen
Crown73 :
Hii nchi kila kiongozi ni mtukufu! Aisee! tuna safari ndefu kweli. Hii shangwe ni ya wale walionufaika na maamuzi ya mheshimiwa. Kwa walioumizwa na maamuzi sijui hali ikoje?
2026-08-19 12:50:02
0
user961311185504
user961311185504 :
mbona sijaelewa ay mi mgeni naombeni mnielekeze kunanini kwa ni
2026-08-19 16:47:07
0
ginimbi.ginimbi
Ginimbi Ginimbi :
KWELI HAO WANANCHI ILA WENYE NCHI HATUPO HAPO
2026-08-19 12:16:32
4
mgisha.mboyelwa
Mgisha Mboyelwa :
vp kafanya jambo gani zuri hapo stand maana nipo inje ya muda
2026-08-19 16:25:50
0
mr.nomadicboy
Nomadic boy :
TUNDULISSU angalia watu wako
2026-08-19 12:23:11
0
frank_mnyaga.kakaenu
Mnyaga.255🚛.Single Dad🕺 :
hawa ni wafanya biashara na sio wasafiri
2026-08-19 10:55:31
2
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About