Ww hakuna raha nzur kama kuitwa mwenye nyumba.
Kwan ukijenga hauja iheshimu pesa.
2026-08-20 13:59:37
1
Levis keita :
Msijenge njoheni mpange kwangu
2026-08-19 21:30:04
1
alpha michael :
kudanganganyana kumekua kwingi saiz ety nisijenge biashara zenyewe mbn uwa zinabuma kilimo uwa kinagoma na ata kwenye vyombo vya usafir uwa vinapata ajali
2026-08-19 14:04:00
2
SEIFF :
Mjini nyumba kaka
2026-08-20 20:41:09
1
firouz khanal :
mnatudanganyaa enhee
2026-08-19 13:51:01
0
Ger'shone🤞 :
bado nalala kwa wazazi sa nisitishe mjengo ni invest ama ?
2026-08-20 16:45:19
0
Healing💊 :
Fanyeni yote ila usisahau kujenga askushauri mtu otherwise
2026-08-19 18:30:23
1
Ibrahim :
musimuamini sanaa
2026-08-20 18:50:16
1
Rehma Omary :
kweli kaka kweli wee acha tu
2026-08-20 16:20:59
0
@ibrahim mchimwanda :
bora nimwagilie moyo😂😂😂😂
2026-08-20 16:27:55
0
Tommy :
sasa tukaishi kwa Nan ambaye alijichanganya
2026-08-20 17:11:17
0
MR D. :
byashara inanjiyambili + na - lakininyumba kilasiku ++++++++
2026-08-20 14:27:19
0
saliieking :
Huyo ndio maneno kumi
2026-08-20 13:56:56
0
Mohdazad0000 :
Duuh Baba unaongea ukweli🙌🏻
2026-08-20 14:27:20
0
Manoni cr7 :
usinishauri utanichanganya😂🤣
2026-08-20 17:07:24
0
STEVEN MADOLLAR :
kwel%99
2026-08-20 15:28:11
0
Jupiter Mkongwa :
hakika
2026-08-20 15:32:16
0
douce :
kweli kabisa
2026-08-20 17:13:12
0
To see more videos from user @gimston1, please go to the Tikwm
homepage.