@atuganilemwakosya: “TUREJEENI KWENYE NAFASI YA MAOMBI, MAMBO YANAHARIBIKA” — MWAKASEGE “Turejee kwa Yesu. Mambo yanaharibika, lakini tunanyoosheana vidole.” — Mwalimu Christopher Mwakasege ametoa wito mzito kwa wanamaombi Tanzania 🇹🇿 kurejea katika nafasi yao ya kuliombea taifa, akisema waombaji wengi wameacha jukumu hilo. Akirejea mfano wa nabii Elia, Mwalimu Mwakasege amesema Elia aliendelea kusimama katika maombi kwa ajili ya nchi yake, hata baada ya kudhoofishwa na vitisho vya adui yake Yezebeli. Alisisitiza kuwa katika nyakati za udhaifu, waombaji wanahitaji msaada na nguvu kutoka kwa Mungu ili kuendelea kusimama. 📍 DAY 2 | KONGAMANO LA 18 LA MAOMBI YA KITAIFA linaendelea leo hapa Dodoma, likiongozwa na Mwalimu Christopher Mwakasege, huku maelfu wakikusanyika kwa ajili ya kuliombea taifa la Tanzania. 🇹🇿🙏 WITO NI MMOJA: TURUDI KWENYE NAFASI YA MAOMBI. #Atumedia #KongamanoLa18 #MaombiYaKitaifa #ChristopherMwakasege #Tanzania

Atumedia Gospel Tv
Atumedia Gospel Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 10:26:00 GMT
15612
1281
46
133

Music

Download

Comments

afya_yako_dr_sila
dr_silajulius :
Mungu unirehemu na mimi mwanao kusimama kwenye zamu sawasawa na wewe Mungu unavyo taka.
2026-08-19 14:31:13
10
sweetcute_jewelry
Sweetcute_jewelry ❤ :
YESU NIREHEMU
2026-08-20 04:49:15
2
imelda1808
imelda1808l :
Mungu naomba unirehem
2026-08-19 21:53:45
2
carolinemushi499
carolinemushi499 :
Yesu wangu,Mungu wangu nirehemu mi mwanao
2026-08-20 08:39:23
1
gracekessy3
gracekessy3 :
Mungu azidi kuliinua Taifa letu..Ahsante Mungu kwa ajili ya Mt wa Mungu Mwl Chrstopher na wana maombi wte🙏🙏🙏
2026-08-20 02:28:23
4
user6544939561873
naomi :
BWANA NAOMBA UNIREHEME SJAWEZA KUSIMAMA KTK NAFASI YANGU KWA UWAMINIFU 🧎‍♀️‍➡️🧎‍♀️‍➡️🧎‍♀️‍➡️🧎‍♀️‍➡️😭😭😭😭🙌🙌🙌
2026-08-20 07:32:50
2
tinakyz
CHRISTINA✝️ :
hakika hatukusimama kwenye zamu zetu MUNGU turehemu🥹🥹🥹🥹
2026-08-24 09:07:30
1
frankpascal738
I,M FRANK :
Mungu aturehem tu
2026-08-24 07:21:25
0
rsj890
Reuben Jacob :
Yes tuamshemoyo wa maombi katika nchi yetu
2026-08-20 06:41:32
1
janeth.yaredi
Janeth Yaredi :
BWANA NAOMBA UNIREHEMU MIMI MWANAO. .NA UNISAIDI NISIMAME BWANA.
2026-08-20 18:26:28
1
aneth.kajuna8
Mumy💚 :
Yesu nilehemu nilejeshe kwenye nafasi yangu
2026-08-20 05:49:34
1
william.mnyambeu
CEO.william mnyambeu 🇹🇿 :
Mungu wa majeshi simama nasi
2026-08-23 17:15:13
0
julianalissu75
julianalissu75 :
Moy unaniuma mung tu Rehem
2026-08-23 19:41:02
0
imeldamwakingwe
imelda mwakingweimelda2@gmail. :
nireheem Mungu wangu
2026-08-22 08:26:48
0
docessty
user8821940256169 :
Mungu turehemu wamama tumesahau wajibu wetu wakuomba kwa ajili ya Taifa letu,Turehemu Eee Mungu
2026-08-20 05:35:40
1
vailethkasebwa
vailethAbel :
nilehem bwanaa,
2026-08-22 04:21:39
0
user7761885840659
mery otimali :
amen
2026-08-19 12:51:31
1
joycemeyer2000
Joyce Meyer :
Ameee baba ni ukweli usiopingika TZ tunatakiwa tufanye maombi ya rehema kwa
2026-08-21 22:05:53
0
barikigeorge
barikijgeorge :
MUNGU IBARIKI INCHI YETU TANZANIA AMEN
2026-08-24 10:02:30
1
mdachi.mdachi34
Mdachi mdachi :
napataje haya mafundisho ya kongamano hili
2026-08-24 14:21:57
0
user4241061298499
user4241061298499 :
AMEEEN KUBWA BABA
2026-08-20 19:32:15
0
richardluvingo
richardluvingo :
Glory to God
2026-08-20 12:00:50
1
user6592655146869
user6592655146869 :
amen 🙏 Mungu atulejeshe kwenye zamu yetu
2026-08-20 08:05:43
0
jonasjoseph939
Jonas Mbonja :
mmh nirehemu Mungu wangu
2026-08-20 07:45:37
0
user6087907422108
user6087907422108 :
Mungu ni rehem na mm mwanao kwakutokusimama kwenye zamu yangu baba nikumbuke baba🙏😭😭😭
2026-08-19 17:17:51
0
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About