@siri.za.utajiri: part.02|• siri nzito ilio jificha makansani nguvu kwa wachungaji upako maji na udongo. - - - - #diamondplatnumz #fyp #zuchu #tanzaniatiktok #simbasportsclub
wanafanya hivyo kwa sabab ya kujenga kanisa la mungu ili likue mfano viti vya kukalia kanisani na mabo mengine mengi
2026-08-21 11:40:33
3
user2557487322614 :
Tatizo watu ni wavivu wa kusoma Neno na hawataki Kuomba wenyewe. Wanaamini kupewa miujiza feki tu.
2026-08-20 19:59:58
14
ester elisha :
mbona unakuta mtu yupo nyumba na mafuta yake na anapona
2026-08-20 07:30:40
5
Devota Mwamkonga :
achen kuchafua uduma za watu atamuonge vp atutoki 😂😂😂😂😂 tunapenda iyo uduma
2026-08-20 08:30:27
1
Maliki Jackson :
ulikuwepo
2026-08-20 06:44:26
2
Rubby Didas :
Kumbe hata nyie ukwer mna ujua
2026-08-20 10:47:48
2
my 💐🌸🍁225 :
japo kuwa Freemason ila apo umeongea kwel ata mm nilishindwa kuelewa
2026-08-20 14:25:30
2
user1532715371087 :
hapo umenifungua akili
2026-08-20 06:13:10
1
benjaminlucas2526 :
kufanikiwa mtafanikiwa sana ila mnakesi yakujibu
2026-08-25 15:32:41
1
use0744820372 :
uyu baba anaki2 cha kutufundisha sisi wa makanisa
2026-08-20 11:58:11
2
EBENEZER :
Si maji au mafuta inaponya ni imani kwa Mungu.
2026-08-20 10:19:09
2
charline♥️ :
siyo wote wanauza,wale hawakuitwa
2026-08-20 05:23:04
1
lovie Lv 🌹🌹 :
Sasa jamani mbona majibu yapo wazi wale ni washirikina
2026-08-20 12:25:25
4
adelove583 :
mbn anatoa siri sas
2026-08-22 08:42:00
0
Anne :
acheni kuharibu biashara za watu mi mwenyewe nampango wa kufungua kanisa
2026-08-22 09:45:24
0
💝💝🎀🎀ommygirl🥰🎀 :
maybe, sielew lakini YESU yeye nimkamilifu na wala hakuna atakaye kuwa kama yeye ,na alisha tabiri siku za mwisho mtazijua tuuh so never judge, it's written 👌👌
2026-08-21 20:57:03
0
Phelister Ngala :
kwani ni wapi kweli YESU alisema watu wanunue maji na mafuta na vitambara kanisani mbona sisi wakristo tunakosa maarifa hawa watu wako biashara wala si wachungaji
2026-08-20 13:58:15
0
Kashindi Antoinette :
mungu akubarki baba kwa leo hakuna miujiza ya kWeli leo yote ni uchawi
2026-08-19 21:21:29
1
BonnanneM :
imeandikwa watu wangu wanaangamiya kwa kukosa maharifa.... Mungu atusaidiye hizi ni nyakati za mwisho
2026-08-20 11:57:03
1
Wagalatia :
we uk vizur lakin wat wagum kuelew
2026-09-26 20:31:33
0
9348 :
una shauli nini hapo
2026-08-31 13:21:19
1
Nyabugembe :
habikuone achawatumishi wa mungu
2026-10-01 14:05:32
0
FezaRVZ :
iyo ni kweli kabisa.
2026-09-25 10:46:11
0
Amossi m Kisengewa :
ivi jaman yale mafuta mchungaj anayatoa wap hua n ya nn jaman
2026-09-20 14:49:17
0
Sarah_♥️TboY♥️ :
ninjaa tu
2026-08-19 14:22:08
0
To see more videos from user @siri.za.utajiri, please go to the Tikwm
homepage.