@aboodbustz6:

Abood bus
Abood bus
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 10:48:50 GMT
262294
10274
547
360

Music

Download

Comments

wrightone_
ᴡɪʟʟʙʀɪɢʜᴛ :
maskini tuna roho mbaya sana.
2026-08-19 16:21:33
330
khanpasma
kenny :
vijana tupunguze roho za kiumasikin kufurahia matatzo ya wengne haikusaidii kitu.
2026-08-19 16:42:09
231
26chevooo
26chevooo :
Kwaiy ao jamaa wanafurahia nin sas
2026-08-19 19:24:54
96
mzungu.himself
MZUNGU HIMSELF _26 😎 :
masikini tuna nni tunashangilia nn?
2026-08-19 13:12:52
121
shamiss_alhajry
shamiss_alhajry :
Furaha Ya Maskin Kuona Kila Anguko La Tajiri 💯✅️
2026-08-20 08:21:56
30
nailafengu
Mama Nu²🫂👣 :
tz heeeee
2026-08-19 19:05:13
0
asiaabeid4
asia :
kwahyo kinachowafirahisha ni Nini?
2026-08-19 17:05:16
40
jibramidjames
jibramidjames :
mwamba wa kaskazini🫡🫡🫡🫡🫡
2026-08-19 17:35:27
16
momclaree
Mom claree :
Dhahabu lazima ipte kwenye moto
2026-08-19 13:22:40
25
surry.babe
Surry babe :
I hate poverty 🙌
2026-08-19 22:17:07
0
isaya.wanjiro
Isaya Wanjiro :
gari inathamani kuliko cheni wengi wali sha fungua siyo yeye tu
2026-08-19 11:53:10
45
air_madini
AIR MADINI :
Vita ya uchumi ni ngumu sana
2026-08-19 12:33:55
76
purity193
Purity collection :
Etiii ndoo unapambana kuwekezaa tanzaniaa
2026-08-19 19:49:28
6
pascodee
pascodee :
Nchi inabidi iwe hivo kila mtu aheshimu sheria
2026-08-19 13:06:30
35
mbovurider
Mbovu Rider :
Tanzania kurudishana nyuma serikali mbovu
2026-08-19 13:45:06
5
venancemachira
Mr &Mrs . Ahadi express :
ata ukimzalilisha mtu haiondoi yeye kuwa na pesa
2026-08-19 12:47:49
15
denis74866
Denis kinunda :
vijana tupunguze roho za kiumasikin kufurahia matatzo ya wengne haikusaidii kitu.
2026-08-19 19:02:21
10
homeboy6217
homeboy :
Hapa hakuna chochote ni njaa tu sheria ilishavunjwa tangu 29 Oct 2025
2026-08-19 20:38:46
12
user6321243653815
mamy S :
gari ml 500 cheni elf 2000 bado mtu anashangalia kweli tutafute hera sasa cha kufanya washagae nini Mungu atusaidie
2026-08-19 19:53:57
12
sonatibrahim705
Sonat Ibrahim :
vita ya uchumi isikieni tu sina hamu kabisa
2026-08-19 17:36:24
7
gasper.tz58
Gasper Tz :
Mm nikajua hata mnamteteaa tanzania bhana🤔🤔🤔
2026-08-19 19:07:21
6
twins.mom658
Twin's mom :
kwahyo sasa wanashangilia nini ila binadam roho tu mbaya unamzomea mtu hajakukosea chochote heee hapo linapiga makofi hata mchana hajui atakula nini wala atalala wapi
2026-08-19 17:36:08
11
st73ephen
Crown73 :
Hili ndio tatizo lingine la watu maskini. Huwa wanawachukia watu matajiri na waliofanikiwa. Shida ni kwamba hawajui kwamba kuwachukia waliofanikiwa ni kuyachukia mafanikio unayoyatamani. na mafanikio kuyachukia huwezi kuyapata. Hii ni sheria ya asili na huwezi kukwepa matokeo yake.
2026-08-20 08:24:53
5
jaz_beautystore
jaz_beautystore :
Mnashangilia anguko la mtu kabsa 😂😂😂 haya sawa wenetu
2026-08-19 18:08:48
6
bajuaramaster
bajuaramaster :
Comeback ya hawa jamaa, walio fungwa pingu.inaweza kurudi kwa njia ya kishumileta. Chalamila mi npo nmekaa pale
2026-08-19 18:24:48
11
To see more videos from user @aboodbustz6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About