Alivoniacha akadai mlokole..
Penzi si penzi alitaka anichole..
Akadai wa tandika kumbe kwa Mtogole..
Nikawa kipofu anatamani nsione..
Naona skio limezidi kichwa,mana mapenzi sio yale zamani..
Afadhari ata ya jana kukikucha,ashanipoteza mazima kwa Ramani...
NIMALIZIE AU NIACHE
2026-10-04 20:49:47
1
M.T BOY (Wakubangaiza) :
nyieee kumbe kuna watu wana roho mbaya
2026-09-18 11:37:31
1
andyboy018 :
naomba nikucheki Dm natokea Kenya Nairobi tukadiscuss bizness
2026-08-20 12:19:51
6
MINADOH🌹❤️ :
Nakuja😂
2026-09-08 09:26:21
1
man wizzy :
ninayo ves
2026-10-01 20:51:13
1
jay man tz :
mi naamini nauwa kwenye iyo beats nitapost
2026-09-30 18:40:25
1
inshallah :
mm namkubalii sana chine
2026-09-03 18:36:42
2
mirra voice :
nakukubali sana brother
2026-09-24 07:22:21
2
itsPatrick✅ :
noma 🔥
2026-08-21 08:43:11
5
@allyzo og45 :
nakutumia wapi iyo nyimbo mana nisha fanya
2026-08-20 05:26:48
11
Almas Boy Yemoko☝🏼 :
Anaitwa Farasi🐎 a.k.a mr Josca
2026-08-19 12:06:18
5
toto ya chuga :
nipe tayar
2026-09-05 20:33:26
1
Genius_balove :
Napita humo kaka
2026-09-20 05:17:57
1
idilani sato :
wanamuita farasi🔥🔥
2026-08-20 21:42:28
2
@Chidy killer tz :
nakubali mkubwa
2026-08-20 20:08:20
1
KAMINATO MUSIC :
studio ipo wapi mdogo angu
2026-08-21 10:30:45
1
Al bajoun # :
farasi michano inaruhusiwa
2026-08-20 21:30:11
1
dogo REKI.B :
mbona bit kali sana
2026-09-18 10:53:10
1
LEE BRA🌹🥀 :
nitumie hilo beat
2026-08-21 16:49:36
1
sai melody :
kaka mi nishapost
2026-09-17 06:56:29
1
nizy boy :
Nipe nizyap
2026-10-06 00:18:33
1
Samsky Filmz :
nachapa vesi
2026-08-20 17:28:24
2
To see more videos from user @josca.beatz, please go to the Tikwm
homepage.