@mwashela.tz002: Kiukweli mungu atusaidie sana

mwashelah
mwashelah
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 11:01:17 GMT
43721
3044
69
556

Music

Download

Comments

marygoreth120
Marygoreth KBM :
Baba mbona unapita kwenye njia yangu? Nliwasomesha kwa pesa aliyoweka MUNGU mikononi mwangu lkn wamegeuka wananitesa. Kila kitu kimeharibika nasihi rehema MUNGU anionyeshe njia mpya
2026-09-23 11:18:03
3
lightshayo2
user3161125018350 :
rafiki unayempenda kwa dhat ni adui namba moja kwenye hii Dunia mungu naomba usinyamaze kwa wote walionijeruhi na kunidharau pasipo sababu mungu shuhulika nawo wewe vita ya kimwili sitapigana tenaa🙌🙌
2026-09-24 11:51:21
3
elizabenard12
Eliza Benard :
si bora awe mmoja, fikiria wawe ni wengi
2026-09-20 12:49:01
8
getruda7310
getruda :
yaan baba wapo weng sana watu kama haw,mungu atusaidie tu
2026-11-05 18:34:10
2
vissionary_1
♥️Vissionary♥️ :
daaaah
2026-11-09 17:51:03
1
siah.manjuu
Siah Manjuu :
Mungu anisaidie sana maana haya yananikuta sana
2026-10-14 10:15:47
3
cecilia.nchimbi
Cecilia Nchimbi :
kila silaha itakayo inuka juu yangu na watoto wangu haitafanikiwa
2026-11-07 10:58:57
1
dosca.alex
dosca alex :
watavurugwa wao kwa jin la yesu🙏
2026-09-20 09:19:35
3
imani7962
imani :
asante mwalimu. Yesu yu mwema.
2026-11-02 20:11:07
1
leahjelajela
Leah Jelajela :
Ameen Mungu nisaidie
2026-08-20 14:01:55
5
kibu_diaz
osiana :
ndio hali ninao ipitia
2026-09-20 04:05:03
3
neemaibrahim656
neema moleli :
amina mchungaji Mimi wananichukia Hadi wanakuja kunielewa ila mungu ananipa namna ya kuishi nao nawapenda sana Kila wakija juu mm nawajibu nawapenda kwani najua mti wa matunda uvamiwa usi utaachwa
2026-09-02 12:09:32
4
irene.ngowi6
Irene Ngowi :
tusiwe chanzo cha wenzetu kutoa machoka
2026-08-27 18:35:10
2
lugano.mwaikambo0
lugano mwaikambo :
Amen na MUNGU anisaidie
2026-08-22 11:29:04
2
edger.faustine
MWENDOKASI :
ameni
2026-08-20 05:01:44
2
user1310553044905
user1310553044905 :
Asante sana baba
2026-08-27 19:08:04
2
gift.kaluwa0
Gift kaluwa :
hallelujah
2026-08-20 03:51:41
2
suzzy.mathias3
Suzzy Mathias :
Amina
2026-08-20 09:47:23
1
odilia.lasway0
odilia lasway :
amen
2026-09-22 08:04:33
1
mariethazephania
mariethazephania :
@amina
2026-09-26 17:38:20
1
bribri5071
bribri :
Mimi hadi kazini anakuja kunifanyia fujo🙌
2026-10-16 12:24:36
1
mslevystoredodoma
MS- LEVY STORE 🛍👠👙 :
wapo sana watu kama hawa kwenye maisha yetu
2026-10-22 12:07:40
1
loveness.makundi7
Loveness Makundi :
Christo unisaidie
2026-10-16 16:07:28
1
user12806683508055
[email protected] :
kweli baba hata Mimi huyumtu naishinae tena tunafanya kazi sehem Moja amenikasirikia bila sababu hata sielewe
2026-10-24 19:15:33
1
tullybukuku
Tully Bukuku :
kipindi ninachopitia.🙏 God
2026-09-01 13:06:22
1
To see more videos from user @mwashela.tz002, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About