@wasafi_media: WAKILI AELEZA YALIYOMKUTA wakili aeleza namna ambavyo alihamishwa bila kujua anapelekwa wapi

Wasafi Media
Wasafi Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 11:07:12 GMT
44441
2000
52
49

Music

Download

Comments

brother.fidelis
Brother Fidelis :
Luka 23:31 Kwa maana, kama watu wanautendea mti mbichi namna hiyo, itakuwaje kwa mti mkavu?
2026-08-20 09:41:50
5
mussahrimoy
Mussah Rimoy :
mh apo huyo ni mwanashelia vip kwatusio jua haki zetu???
2026-08-20 06:42:35
6
bushirimagu
azora :
mambo ya sheria kwa askari!askari ni ubabe unabe tu
2026-08-19 17:37:03
5
user218613560600
Kereyani Edward Julias :
Nchi yangu Tanzania kweli ndo hii au sasa tupo malawi
2026-08-20 06:25:04
3
bbysabrina0
AlikoAlikanto :
Wasafi nawakubali
2026-08-19 16:47:11
4
ryn.boo
Ryn boo :
duuh hii nchi hapana sasa
2026-08-19 16:04:31
4
youngtozi01
youngtozi :
zembwela tutakufuatilia maana unatoa madini sana mzee wetu
2026-08-19 20:09:35
4
montanaog32
MONTANA OG :
Kwan wamesha muachia
2026-08-19 17:18:27
0
youngdy64
user6937335090805 :
🥺🥺🥺🥺Tafakari
2026-08-20 08:51:43
1
honoratha.swai
mazombi :
nimewapenda bure
2026-08-20 11:50:58
0
romanus723
Romanus :
jamani angalieni wasafi isije kufungiwa jamani
2026-08-20 11:23:56
0
nickolaus70
Nickolaus :
Nchi yetu inazi kuwa mbaya Tuokowe mungu wetu tumefika pabaya sana TANZANIA 🇹🇿
2026-08-20 10:53:52
0
aishahabs01
Aisha Habs :
dah hawa polis wamechanganyiwa sijuw
2026-08-20 12:26:34
0
shukuru4312
shukuru :
kweli kama mawakili wenye akili mingi wanafanyiwa hivi je kwetu sasa
2026-08-20 11:40:00
1
bacaryjuma
bacaryjuma :
Ila babuuuu😁
2026-08-20 14:12:03
0
sikamonaomary
Dr.Sikamona :
HATUTOBOI KWELI
2026-08-20 06:18:40
1
erumes001
Helmes :
Mwanasheria huyo,, alafu tupo kina sisi ambao hata kifungu kimoja cha sheria hatukijui.
2026-08-21 08:20:01
0
frankseme0
frank seme :
kabisaaa ndugu zangu mpo sahihi Mungu hawalinde daimaaa
2026-08-19 16:29:14
0
user5033005684916
Ishaah :
duu ihayali sana
2026-08-20 04:02:08
0
mshobozi36
Mshobozi :
tz
2026-08-22 04:36:06
0
burhan_abdallah8
Burhan_Abdallah8 :
Yan m-Tanzania mwenzenu anaelezea hisia zake tena kwa uchungu namna alivyo fanyiwa vitendo visivyo vya haki, nyie mnatoa taarifa kwa jamii huku mna chekacheke, Yan mnaonyesha dhahiri ni jinsi gani mna enjoy wanayo pitia wenzenu. Badilikeni ndugu zangu mambo kama haya c ya kucheka cheka kama mnavyo fanya, ni mambo ambayo yanatakiwa kukemewa na kuonyesha mshikamano pale mwenzetu anapopata tatizo na c kukaa mezani na kucheka cheka. Siku zote wakili Madeleka hajawahi kuizungumzia namfsi yake pekee, Bali huzungumzia haki za kibinaadamu kwa ujumla (Wa Tanzania kwa ujumla) na nyie mnakaa mezani kuchekacheka as if mmefurahishwa na kilichomtokea W-Madeleka. Ila na wakumbusha tu, wali wa msibani ni mtamu sana ukiwa msiba haukuhusu.
2026-08-21 05:47:31
0
salvason4
Salva Son :
Mungu atupiganie na hawa ..... 🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-08-20 07:40:32
0
jumanne.ally959gm
Jumanne [email protected] :
hatukosalama🥺🥺
2026-08-20 05:51:25
0
barakamajile
molongwe majile :
hii studio hamko serious
2026-08-19 19:40:29
0
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About