@musayasiniquotes: #swahilitiktok #bestfriend #foryou #tiktokviral

Mussa maneno the son
Mussa maneno the son
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 11:10:26 GMT
106363
7622
171
360

Music

Download

Comments

nielly2866
nielly :
Bikra ni sehemu Moja hapo ya mtu anayejitunza,anayejiheshimu,anayo hofu ya Mungu pia hata Maandiko yanasema oeni Mabikra,kwahiyo kwa yeyote ambaye ni Bikra Mwenyezi Mungu aendelee kumpa Subra na apate ndoa yenye heri na yeye
2026-08-20 07:13:22
232
mr.loyal4793
mr loyal :
Kila mzinifu ataoa mzinifu mwenziwe
2026-08-20 03:03:08
65
user57660596157932
user57660596157932 :
bikra ni tabiya moja wapo ya kujiheshimu zaidi....
2026-08-19 16:54:11
131
sarany205
Sarah💓💖 :
Kwa kizazi cha sasaiv ukipata Mwanamke Bikra ni heshima kubwa saana Bro🙌
2026-08-20 15:35:24
31
sirioil5
SIRI OIL 🫒 :
m nimdada ila ngoja niwape heshima yao ambao nado wapo na bikra yao,sio kazindogo kuilinda kuilinda,Dini yenyew inasema waoe ma bikra so unatak kupingana na maandiko
2026-08-19 12:50:35
54
beyatusharuna
💬 🌟 MUKI🌟 💬 :
Siku nikipata bikra nitavua shati nakukimbia nalo kama bendera kariakoo nzima
2026-08-22 16:16:07
3
user1084944134467
kanivo :
usinilazimishe niishi unavyotaka wew
2026-09-10 14:18:48
1
wizlilo
Wiz Lilo :
bikra ni sehem ya kwanza ya kumtambua huyu mke ni mwema mana hajalala na mapepo nna uhakika hana mikosi yoyote🤣🤣
2026-08-20 17:37:20
7
janerose.95
wanjiku ♥️ :
we wadhani kutunza bikra ni rahisi
2026-09-10 21:16:30
1
precious_shakira2
Precious_shakira :
Kwaiyo nikiwa na tabia njema nakua bikra
2026-08-19 21:42:54
10
smaykmuqit
smaykmuqit🦋 :
Bikra ni moja ya utu wa mwanamke na heshima ndani yake
2026-09-09 09:50:07
6
laddy.starfaty0
from your contacts :
Ni sahihi mke mwenye tabia njema atafaa zaid kuliko mweny bikra sawa maandik yamesema oeni mabikra ila kama ni bikra akiwa hana tabia njema akuna cha msingi Bali chamsing ni kutafute yule ambaye atakuelewa ww kwa kila Hali coz icho kitu utok cku moja tuuh na akitorud ten ila heshima na tabia njema hubaki milele kwa mwanamke na Atoka akakutupa kaka
2026-08-31 11:49:21
4
generodripper
Genero💦dripper🫂🩵 :
bikra ni muhimu bro
2026-09-19 16:16:08
2
user4580320028121
Ya roughy :
Kipenzi skuiz watu hawaaminik mtu anahiari atoe kinyume na maumbile kwakulinda bikra tu hii duniani sio dunia ten mtihan t 😔😔
2026-09-02 19:05:42
3
mohamedjuma34
mo 34 :
fact
2026-08-20 05:53:44
2
shayo67
julio :
ntampata wapi sasa💔
2026-08-19 17:30:23
7
suzana.adam7
suzana adam :
👍👍👍nice
2026-08-19 14:42:50
2
user6000638661638
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
kabisa
2026-08-19 17:12:07
2
user73746525592
Ammy Ammy :
dah kweli watu hawajangundua hilo bikra usiku mmoja lakini tabia njema milele kaka mungu akupe maisha marefu sana coz kuna vitu unafundisha vingi san
2026-08-19 11:48:57
9
aiyam498
Aiyam🫶 :
kweli kaka 🥰🥰
2026-08-19 11:17:19
2
sulehking66
Suleh king- 66 :
kwel kil mtu na akili yake angalia koment hzo
2026-08-20 13:18:20
1
khanbubby2
kh@n bubby :
sahihi bro
2026-08-20 10:21:18
1
xophy.mussa
Xophy Mussa :
Exactly 💯
2026-08-20 09:38:44
1
anjouanmcomoro
Mcomoro255 :
waza mala mbili hii bado haijakaa kwenye system
2026-08-21 12:02:07
1
nasra20043
nasra :
kabisa
2026-08-19 17:56:01
1
To see more videos from user @musayasiniquotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About