aisee singida ina tesa watu niko dar ila masela zangu wanataka niwalete nahofia nikiwaleta watang'ang'ania😂😂
2026-08-19 17:14:32
18
chrisie.A :
hiii kindai ya lini jamani mbona Mimi napita hapa Kila siku😂😂🙌🙌
2026-08-20 19:12:36
6
Isaya Sakweli :
nilishawahi kuogelea hapo kindai umenikumbusha 2023
2026-08-19 20:26:33
0
mrs issango :
singida kama ulaya
2026-08-20 16:31:30
1
Ummy Ikingu :
watot wa Zonda mkwapi😂
2026-08-20 14:07:36
0
@mammy :
singida oyooooooooooooooooo. mim. mandewa 😁😁😅 au jeruman
2026-08-19 17:07:41
1
FULCHEMIST OFFICIAL 🌍🌍🌍 :
location zetu wana mwenge high school siku za outing day kindai,singidan au magwanjuki(lake sec)🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-21 12:18:54
1
Madian Shabani :
ndo nyumban jmn alf ni pazuzii
2026-08-30 17:04:48
2
🎀Annastazia🔐📌 :
😂😂 nimeoma kindai shule ya msingi aweeeeeeeeeeee nyumbani ni apo kwa manyotaa kindai yetu 🫡🫡🫡🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-20 09:56:08
0
roshinipatery :
hiiii sio kindai ninayo ijuwa 😂😂😂😂😂
2026-08-22 14:01:20
0
Faustin Thomas :
umetisha sana nimefurh kuiyona kindai nimda sana iyo barabaran nilikuwa napt sn da 🥰
2026-08-21 05:54:32
0
Dogo mudy 💫💫 :
unakuwa kama mnyaturuu
2026-08-20 09:02:51
1
Singida Boy Lee :
dah barabara ya kwenda home Hiyo napita mwankoko naingia mtamaa dah mepamiss home🥰🥰
2026-08-23 07:48:40
0
official zuchu 🌀 :
Waoo hatimae nimepaona Kwa mamdog Wang 🥰
2026-08-19 11:38:49
1
jane :
napajuwa sana nilikuwaga na pita hapo nikitokea matyku jmn
2026-08-20 17:16:53
1
Obligado :
Watoto wa Singida Munang..zaman hapo ni play grounds hakuna ziwa hilo. Bublish za 200 ndio kombe🔥🔥🤣 Vua samaki sana na kuogeleaa kindai mpkaa nina wanangu waliokufa na hayo maji😭 life goes on. Miss home a lot!!
2026-08-20 18:20:09
3
Ryema :
Njia ya Kwenda minyughe
2026-08-20 17:47:09
1
RAHMA🧕 :
jmn njia ya kwenda masweya iyo mtunduru uko daaaaa
2026-08-19 11:40:07
1
Lìñãh :
Ila Singida ni mkoa pekeee unaovutia kwa kweli najivunia kuzaliwa Singida naupenda sana mkoa wetu napamic sana ni mkoa ambao hauchoshi kuishi,, ❤️🔥💜🌹🙌
2026-09-04 08:31:28
0
Lìñãh :
Singida hiooooo kwetu kuzuri jmn napapenda sana Singida