@al.akhi.naasir7: Ndo ipo au Hakuna

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 19 August 2026 11:23:30 GMT
15156
1711
57
106

Music

Download

Comments

aisha.shaha5
aisha shaha :
samahani naomba kukuliza je kama ameondoka yeye mwanaume kamuacha mke wake nyumbani kwa muda mrefu bila mawasiliano yoyote inakuwaje
2026-08-19 11:51:17
4
arafasadic
mziwanda wa mama❤️♥️🌹🌹 :
Allha atupe maelewano mazuri kwenye ndoa zetu inshallah
2026-08-19 11:32:22
12
mariamjuma341
Mamu Jj :
nakubaliana na wewe lakini siezi kaa mahali napigwa,Bora nijiendee kabla sjauliwa
2026-08-20 03:58:16
1
tabiachai
MAMA wa watu 💖💖 :
subhannallah 😥😥 tulioko ndoani kazi kazini 😥😥😥😔
2026-08-19 15:01:53
2
mummytrap
Mummy Moha :
Je ukimaliza kuswali kabsa mpk dua ushamaliza alaf ushute swala ipo ama
2026-08-19 19:15:08
0
lucymlelwa192
Lucy Mlelwa :
kama ni miaka 20
2026-08-19 11:52:45
0
mtumwaame550
mtumwa :
shehe mm nilikuwa ninae mke lakini mke huyo alikuwa akinidai talaka kila siku bila ya kosa lolote mm nikamuambia talaka sikupi yeye akamua kunikaba roho kwa nguvu mm nikamuandikia talaka moja bila ya kutamkiaa yakwamba nimekuacha jee shehe talaka imesihi naomba jibu
2026-08-20 15:03:33
0
kingi7917
kingi :
shukurani zaka Allah kheri
2026-08-19 13:43:20
1
shiffahmkemae
Shiffah mkemae :
samahan shekh apo kwenye suala la kukasilika umesema kwa upande wa wanaume jee ikitokea mwanamke amelala na hasira dhid ya mumewe inakuwaje na vp yule mwanaume ambae kila siku anamtuhumu mkewe kuwa ni mzinifu hii ipoje
2026-08-20 08:36:06
0
omaryseshambi328
seshambi :
sahihi kabisa
2026-08-20 12:23:45
0
fatmaallyaly
fatmaallyaly :
iyo inanihusu mm kbs
2026-08-20 06:40:22
0
hadijaissa540
hadijaissa540 :
kama alikufukuza yeye mwenyewe
2026-08-19 20:54:06
0
user9357858297509
user9357858297509 ummy nalmat :
Allah Akbar Allah atunusuru kbx
2026-08-19 21:46:27
0
user5053111821567
user5053111821567 :
asalam alykum shekhe, naomba kuuliza ni njia Gani sahihi ya kuzuia mimba Kwa mujibu wa dini yetu ya kiislamu?
2026-08-20 07:02:44
0
sabninah5
Ninah❤️ :
Mm nilijivua kwa kadhi
2026-08-19 19:05:42
0
user45212363984274
Aisha R :
subbahanah allah
2026-08-19 11:29:50
0
raziah.nechesa
Raziah Nechesa :
Allah akbar
2026-08-19 20:57:31
0
fatumauba1972
Mpaji ni Mungu☝️ :
Allah atuongoze duniani na akhera
2026-08-19 14:39:20
0
jumajoshua526
Triple J :
kama Mimi nilifanyiwa matharau ya Haina hio na akaenda akaolewa na mwingine na handi wa Leo sijawai muona tena
2026-08-19 14:34:54
1
bundarajustin
Bundara Justine :
asalaam Shekhe naomba unijuze je yafaa kujitibu kwa kujichanja chale naomba unijibu tafadhal
2026-08-20 13:11:08
0
sefo6275
sefo :
uko suahihi sheik
2026-08-19 16:55:52
0
nasibu.donge
Nasibu Donge :
inaonekana wengi tunaachana duh
2026-08-20 17:20:04
0
sefo6275
sefo :
sheik Nico Moçambique 🇲🇿 naomba namba yako dafadali.
2026-08-19 16:57:34
0
hamzapapabezy
Hamzapapa :
Swadakta
2026-08-19 11:43:46
0
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About