@maulanahemedjalala: JE KUSOMA MAULIDI NI BIDAA #rabiulawal #islamic_video #creatorsearchinsights #tanzaniatiktok

Maulana Hemed Jalala
Maulana Hemed Jalala
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 August 2026 13:00:00 GMT
36779
1579
83
156

Music

Download

Comments

sparloibnvansakala
SPARLO van SAKALA :
naaaam shkh umemaliza
2026-08-24 05:45:53
0
mudi.hamad2
Mudi Hamad :
kama unapenda maulidi ganda hapa kwenye kopa
2026-08-23 21:31:54
8
abuu_sulaymah_pelly
Abuu Sulaymah pelly :
maswali twawaulizeni, na twaomba msitumie kauli za matusi na kuvunjiani heshima baina yetu. je, hayo aliyotaja jalala ndio masharti ya hayo maulidi au ndio nguzo zake. je, huo mkusanyiko kwa ajili ya hayo aliyoyataja, alifanya mtume au maswahaba baada yake, sisi hatukatai kuwa kuna mambo mazuri ndani yake, kama kusoma Qur’ani, japo kuna muda pia yanachanganyikana na mambo ya munqarat kama alivyotaja Al Imaam Suyutw رحمه الله je, kama ndio mrengo huo mtuambie asili ya jambo hili ni wapi kwa ujumla kwa wajihi wake lilivyo, kwamba maswahaba walifanya hivyo au limekuja baadae tu karne za mbali, Na je, kama mtume صلى الله عليه وسلم hakufanya jambo hili kwa wajihi huu, na twawaulizia pia kuna ibada ambayo mtume aliacha kuufundisha umma wake, hapa kwa namna yoyote jibu ni hapana, kama ni hapana je mtume amefunfisha ibada inayoitwa maulidi? Allah atuongoze, na atupe thabat kwnye dini yake.
2026-08-23 08:31:07
5
hamiduzanzibar
HAMIDU ZANZIBAR 🇵🇹🇫🇷 :
Maulid bidaaaa
2026-08-23 09:04:13
4
dephenomenaboy
delnomious :
mawlid ni mazazi ya mtume si mkusanyiko
2026-08-24 11:36:17
2
anuarmuhsin821
جرجان قاسم :
shekh jalala umefafajua kwanzia leo mimi ni maurid
2026-08-23 06:28:14
4
qadir00gh
qadir00gh :
mbona hujataja kumi na mbili kucheza na ngoma
2026-08-23 17:08:49
1
shufaina90
shufaina😘😘 :
ingekuwa inafanyika kama ulivyofafanua ni sawa ila kwa sasa watu wanaruka majoka tu
2026-08-24 00:33:33
3
alhamdulinllah.40
💞💞💕💝 :
mashaanllah tabaraka Anllah asoele wa hatoelewa kamwe asante sana shekhe wetu💞💞
2026-08-23 08:33:48
2
salumumagoga801
Technician 0695939855 :
mtume lini Ali amlisha ifanywe iyo maulini
2026-08-23 09:30:49
2
user1944378066179
HUSSENI MBWANA TANGULU :
Masha allaah naam
2026-08-23 05:59:33
2
kassimdosa
Kassim Dosa :
sisi tunataka dalili zake kwani ibada aliyo ifundisha Mtume ina dalili zake
2026-08-24 14:04:56
0
annacemohamedhuss
Annas Mohamed :
mkusanyiko wa watu wanaomdhukur Allah ndo linalokubalika lakin cyo mkusanyiko wa kipiga ngoma hapo mtume saw hakufanya
2026-08-23 18:31:53
1
ballot94
ballot title :
Ni kweli maswahaba walimsifu mtume Muhammad s.a.w lkn hawakupiga dufu(twari)
2026-08-23 17:14:43
1
abuuzulfah
masudi ngocho :
shida hampigi kama mtume alivyopiga kwani mtume aliyapiga vipi mbona mwapiga vibaya?
2026-08-23 11:15:57
0
allybenga
ally benga :
elimu ndofo ndo tatizo la watu kusema bidaa
2026-08-23 15:19:42
1
aboubakarr01
aboubakarr01 :
p
2026-08-24 12:39:31
0
mudi.hamad2
Mudi Hamad :
tumswalie mtume Muhammad
2026-08-23 21:31:30
1
mest095
MEST TZ :
Alhamdulillah kwa kila hali
2026-08-23 16:49:02
1
ridhwanmuqaddam76
Nam'e less :
mashallah nakukubali kwaajili ya allah kwenyelike jambolileee2 ndo tunapishana 💚❤️
2026-08-24 14:08:18
0
ahmadhassan040
BABA RAJWA :
kwanini maulizi hayana fungamana na birth day na jee ? kuna mahali ambapo mtume alitamka mnisifie au mtume ali himiza tumfate na kama alisema tumfate swali jee mtume aliwahi kujifanyia maulid ( birth day
2026-08-24 13:07:58
0
yusuph_mtupa4
Yusuph :
Sheikh langu katika ufafanuzi......... Tatizo maelezo hayana hadithi wala Aya maelezo kibaaaaaaao
2026-08-24 14:22:27
0
aminata.swago
Aminata Swago :
mashaallah tabarakallah waelimishe hao maana mtu wamuuliza nipe aya ilio eleza maulidi ni bidaa wanaruka ruka
2026-08-24 10:06:15
1
nushkim135
Nurhat :
Allah Akbar
2026-08-24 07:28:23
1
abdushakur298
MTOTO WA BABA :
kumbe hata nyie mnasemaga ukweli some time bwana kikubwa nyie wa islam wenzangu mazehebu mbele ya mungu misihukum❤️
2026-08-23 07:48:29
0
To see more videos from user @maulanahemedjalala, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About