@sheikh_kosonso.official: AMKA USIKU KISHA SWALI MUNGU ATAKUJIBIA | SHEIKH AMIR KASONSO #kasonso

Sheikh Amiri Kasonso
Sheikh Amiri Kasonso
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 16:55:00 GMT
80418
9251
141
591

Music

Download

Comments

muluba.boy
HAMIMU DJUMA SAHIL :
mze kuna kipindi mke wangu alini acha kisa maisha na nilikuwa nampenda sana wallahi nili amka usiku nililia kwenye msala wallahi aikupita week na alikuwa mkristo mambo ya vijana alikuja na kuniomba msamaha na aslim akawa mwisilam adi leo watoto 4 alhamdulillah.
2026-08-19 18:24:28
135
user9602109084401
mamy :
nina ushuhuda na swala za isiku jaman nipeni kiti🤣☺️
2026-08-20 06:38:34
52
ramadhaanmathey
Arbab 🌎 :
Ukishamkabidhi Mungu Mateso yako wallahi ukitoka hapo Yule Mtu unamuona wa Kawaida sana
2026-08-19 23:54:29
46
fettyjtz
fettyjtz :
hiii ni kweli nashkr imenisaidia kupunguza kuwaza sana
2026-08-20 06:01:50
9
hadija.ibrahimu1
Hadija Ibrahimu :
ATA MM NKISWAL KWANZA NAKUWA SIMUOGOP MTU NA IMAN NAKUWA NAYO NAMAMBOYANG YANAKUWA SAWA
2026-08-20 06:34:05
12
zakiahelyia12
zakiahelyia12 :
Hiiiii nna ushuhudaa
2026-08-19 17:42:01
11
princessyusrath
princess yusrath :
duuuh mm nkigombana na mume wangu nasusa hadi kuswali nilikuwa sijui
2026-08-19 20:27:44
8
safiya.omari
sofiya omari :
nampenda huyo baba amekua farajavkwangu nakuombea kwa Allah akupe umri uzidi kutulea
2026-08-19 20:43:12
8
shirry.khanoutfit
Shirry khan outfit :
Me ushuhuda wa sala usiku ninao
2026-08-20 11:18:02
4
allahistheking04
Mohamud :
asante sheikhe
2026-08-19 23:01:27
1
mwashi.mwashi4
Mwashi Mwashi :
wallah nikweli nilimililia Allah nakawa nafuga nikajikuta nimefunga adi ijumaa 😂😂😂kisa mapezi nilikuwa nampeda Sanaaaa wallah Allah alinijibu na dowa tulifunga alihamdullah namshukuru mungu
2026-08-20 10:53:34
4
jeneviv786
laylateefah :
wallah nililia sana kwa Allah kwaajili ya mumewangu kutulia🥺 Asahivi kanyooka kama rula wallah mshtakie Allah🙌🙌🙌🙌naenjoy tu sahivi🥰🥰🥰
2026-08-20 15:06:38
0
lilliesnganzi2
Lillies Ng'anzi :
umezidi kunipa moyo🥰🥰🥰
2026-08-19 17:03:53
8
niphermuya0
niphermuya0 :
wallah hii ni kwel.mimi nilikua na mitihan nilikua naswali Tahajjud now Allihamdullilah nafsi yangu inaaman swala ni tiba
2026-08-19 22:13:38
6
nayah_beel
Nayannah Beel :
inshaallah Allah atamlipaa
2026-08-20 02:24:29
2
famia2
famia2 🇰🇪 🇨🇦 :
wallahi nilifanya hivo na Allah alitikia apoapo🥺
2026-08-20 10:03:27
0
jamilabachoo
Jamila Bachoo :
Nasujudu kila swala. Namlilia mungu anibainishie. Anihukumu kama mimi ndio mkosa.
2026-08-19 18:19:44
7
matupajose
Matupa jackson :
nakuelewaa Sana shahe
2026-08-19 21:50:09
2
dj_x2.tz
DJ x2 :
truu point mim Niki swali uwa nakua na amani kubwa na furaha kupita ma elezo Niki kosa atasiku ku swali najiskia vby 🥰
2026-08-20 02:31:25
5
bellahyuzo
miyahe :
napenda sana maneno yako yananigusa mnoooo japo muda mwingine sikielewi kiquran lakini nakuelewa tuuu hivohivo🥰
2026-08-20 10:58:28
2
user790272094492
momsuu :
hakika ni kweli 💯💯
2026-08-19 17:11:23
3
neemajumamsari
ney modo :
kabisa naamin kupitia ilo jaman mungu anaweza sana na hana mpinzani
2026-08-19 22:00:22
2
hammysayd
zee :
aaamin
2026-08-19 20:06:16
1
leilajumma
Leila jumma :
kabisa
2026-08-19 19:32:26
1
user7214786006173
Isha maa :
hii nikweli kabisa
2026-08-19 19:43:09
1
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About