njoo tuanze mahusiano na wewe🥺,ntakupa unachotaka🥺
2026-08-20 09:07:04
18
ayhan de greate :
chief mbona me nimeripia ila bado hujaniunga
2026-08-20 07:54:17
6
bakitakihongosi :
Nawewe kwanini usikae na mtu wako kama unampenda jamani khaaa
2026-08-20 15:35:06
7
alphonce James :
Run bro 🤣
2026-08-27 07:46:36
0
Chia Baba Nelson :
Utajua mwenyewe
2026-08-21 11:03:01
8
user884697888757 :
Uliza moyo wako una majibu thabiti kuliko ushauri
2026-08-20 08:57:04
9
jaytown :
tajiri hashauriwi
2026-08-20 08:58:33
6
Anna :
hicho unacho taka ni nini? jamani
2026-08-20 10:43:23
12
blessedvero :
Kwani wanaume, si mtulie na wanawake wanaowaridhisha kwa kila kitu? Why uwe na ambae hakupi furaha then uwe unaitafuta nje?😂
2026-08-19 19:09:45
7
ivan G :
pole sana kaka ndo walivo na bola hata umejipat kak si wengine tnaliliaga uvunguni sasa ntamsimlia nani akanielewa na kitu nacho miliki ni kiduku kichwani 🫂🤝
2026-08-19 18:12:57
9
christina Temba :
Hakuna rangi utaacha kuona, unauliza jibu gani wakati red flags kibao.
2026-08-20 08:41:18
7
METUTHERA*METUTHERA :
una kisia STORY
2026-08-19 19:40:35
6
DarlingG🦅🦅 :
Kwan unatak kupewa nn mwenetu😂
2026-08-19 21:14:31
9
limbukeni Hana Siri :
Me ntakushauri tafuta hela achana na mapenzi mapenzi yana wenyew nakushauri km wee unavotushauri tutafute hela na wee tafuta hela
2026-08-19 12:55:02
14
To see more videos from user @chiefgodlovetycoon, please go to the Tikwm
homepage.