@john_madeje: ❌NB:Muhusika alikubali nishare baadhi sio vyote,japo amount za pesa nilizotaja kwenye Video imebidi nidogoshe kidogo ili muhusika asijulikane kirahisi na waliomzunguka wasimjue kirahisi na kabla ya kupost nilimtumia video hii akaipitisha ✅Umejifunza nini kwenye haya maisha kupitia hii video na historia ya ndugu yetu na maisha yake!? #biashara #ujasiriamali
ila kiuhalisia yy ndo mwenye makosa huwezi mtu kumpa 150m alaf utegemee ataimanage kwa mara kwanza tuu lazima afeli ilitakiwa awape ataa 5m kama ya kuanzia ekesha utampea nyengine kulingana na yy anavyoenda ila kumpa mtu 150mm at once lazima ashindwe ni kapewa ajaitafuta mwenyewe
2026-08-19 22:32:55
30
Abu Xani🇹🇿🇸🇴 :
Mapenzi yanatesa kila mtu hayachagui ni kama kifo
2026-08-20 11:13:33
28
Hsy2usduej Zhhsgddhhd :
mkuu hebu niunganishe nae huyo mtu namuahidi stamuangusha
2026-08-19 21:05:12
16
Babygurl yuuh 🛍️ :
Nshamjua😂
2026-08-20 06:30:04
10
user13174063100 :
Kam upo single nikisema single unasema pawa ayasingle...
2026-08-20 15:06:38
6
PhD-thirteen-codes :
Huyo bado siyo bilionare hata bado hajafika robo ya ubilionare
2026-08-22 05:46:57
3
rey :
to make comment short naomba niunganishe nae😂
2026-08-21 19:32:43
1
dionesiagavula :
14 years kwenye biashara👏👏 consistency na discipline
2026-08-20 10:57:43
7
SIBORA MAGIGE :
sir Billionaire in shilling or dollar
2026-08-20 10:52:43
0
Jéllodz J7 :
Wealth is spiritual, ukiwa huna hela in the spirit, hata upewe trillion, itaisha tu.
2026-08-23 21:06:41
2
Justin Kannonyele :
Aiseeeee 😂
2026-08-19 18:14:45
6
Maneflex collection :
Na usiponijib nakuj dm😂 na mwambie asiyakatie tamaa mapenzi anijaribu mm😂
2026-08-20 07:40:12
11
Quad E_08 :
huwez kupat vyote bora uteswe na mapenz kuliko umasikin
2026-08-24 07:22:32
2
maisha halisi🔓🗝️ :
kuna kitu hajasema na awezi kwambia😂
2026-08-24 07:59:11
1
MarVV :
Pia niunganishe na huyo mtu mimi sitamuangusha anipe tu mtaji nianzishe biashara
2026-08-20 08:13:31
2
Uzerly01 😍 :
Mapenzi yanatutesa wooote mbona
2026-08-20 18:02:19
1
Anthony Kiphagio :
sitaki mazoea na ndugu maana hakuna hata mmoja aliwahi nisaidia
2026-08-20 06:48:18
8
I'M CATHOLIC :
ila ni kweli brother hiyo sio kwa huyo jamaa tuu hata kwangu ishu ya kuoa imekuwa hard😂😂ila Sina hela
2026-08-22 19:15:38
0
twakhab :
nimekuelewa lakini naenda hukohuko
2026-08-19 18:09:36
4
Queen❤️❤️ :
Vipi akiwa rafiki angu🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 21:52:56
3
Ms_hafsathy❤️🌝 :
🤣🤣🤣🤣Humu comment section wasichana wote mpo single siet😹Tutawafuatiliaaaaa🌝
2026-08-23 17:52:44
1
farid😘 :
napenda mna nimotivate sanaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏 MUNGU ATUSAIDIE let's go struggle guys 🥰🥰
2026-08-20 09:55:33
2
Maneflex collection :
Naomb no yake🙆♀️
2026-08-20 07:39:02
2
shuku :
daaahh hiyoo ndio mine wangu mtarajiwa Wacha niendelee kumwombea MUNGu wakati wa MUNGU ni sahihi.. 😁😁😁😁
2026-08-20 08:10:02
2
semkiwa :
respect 🥂
2026-08-19 17:02:41
1
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm
homepage.