Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@tz360news: Mkurugenzi na meneja wa Basi la @tilisho_safaris wakiletwa mbele ya alaiki wakiwa wamepigwa pingu za Polisi mara baada ya kukaidi agizo la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
TZ360NEWS
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 12:12:46 GMT
122273
3525
782
594
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.74MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.88MB
)
Watermark .mp4 (
4.29MB
)
Music .mp3
Comments
Eunice 🥰 :
sijafurahishwa na hiki kitendo 🤨
2026-08-19 14:15:25
171
TZ 001 :
kwanini msiwalete watekaji hivyo
2026-08-19 14:08:37
274
Gifted :
Asee huu ni udhalilishaji watu wa mabasi inabidi wafanye jambo
2026-08-19 14:06:21
162
hey_its_fredrick :
KIPI CHA KUFURAHISHA LABDA? 💔😢
2026-08-19 13:44:38
97
allynkusa :
hiyo sio sawa kbs walipa Kodi mjue hao
2026-08-19 13:52:59
106
Jiwe kuu la pembeni :
sijapenda hata kidogo ndo nini sasa
2026-08-19 13:42:31
55
user6662279456460 :
was the pingu necessary
2026-08-19 14:08:39
1
babayaga :
content created
2026-08-19 13:35:24
2
wamlevimasaka :
mimi simba dam
2026-08-19 13:55:04
2
Rose wa jo 2808 :
mhhh hiii kama movie la kihind
2026-08-19 15:10:40
1
EVY❤️🌸 :
Sahawa maskini wenzangu wanafurahia nini
2026-08-19 14:47:08
18
Ludovick August Mushi :
mnamleta mbele ya alaiki ili iweje ndio muonekane mnafanya kazi sana au
2026-08-19 13:42:48
109
Jasmine Awili :
atafute mwanasheria kwanza kabisa kwa kosa la kudhalilishwa ana haki zake hata kama ana makosa
2026-08-19 14:32:57
42
samybeautypoint :
sio haki jamani
2026-08-19 14:54:20
7
MALLESSAONE GOLD MINING &FARM :
aaaah under carpet
2026-08-19 13:28:42
4
user1284165656790 :
Do jamn 😔
2026-08-19 17:27:29
0
Wity Hair :
Mlipa kodi anazalilishwa ili kiongozi aonekane anajua sheria 😳😏
2026-08-19 14:09:16
19
officialvaki :
kwan alifanya nn jmn😊😊😊😊
2026-08-19 14:01:42
12
Mickmill_027 :
Hii haijakaa sawa kabisa,
2026-08-19 13:52:25
6
ms magge :
asee Ila watu wabaya Sana wanapenda kuona watu wanaingia kwenye matatizo sasa hapo wanashangilia nini?
2026-08-19 15:31:08
5
secilia ptk :
dah vina mwisho jamn wamemdhalilisha
2026-08-19 13:48:10
16
itc_sp :
kazi yakurudisha mabus mbezi ni nzuri namna kazi inavyofanywa ni mbovu na udhalilishaji
2026-08-19 13:51:15
31
. :
kama ni me nasimamisha fari mwezi mzima kwanza ukiuliwza natafakari biashara ya kufanya pia mwenyekiti akemee hiki suala sio sawa
2026-08-19 13:50:01
16
Viannah_lydia💜✝️ :
watekaji mmewahifadhi wanalipa kosi ya serikali mnawapiga pingu
2026-08-19 14:19:36
29
vee Amii :
daah TANZANIA yangu🥺 iv au bas ila sijaona cha kufurahia wala
2026-08-19 13:55:59
7
To see more videos from user @tz360news, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
هي النبضه وانا اكسجينها #الفنان_خالد_العبيدي #ليبيا #بنغازي @الفنان خالد العبيدي
this era #lisa #lalisa #jisoo #blackpink
อลันบนจอแก้วคือที่สุด♥️@ALAN BUS #ALANpasawee #ร้องข้ามกำแพง #BUSbecauseofyouishine #fypシ゚
Not your everyday Corolla. Clean stance, bold wrap and a build made to stand out at DrivePK Azadi Auto Show Downtown Islamabad . . . #autonews #automobile #automobiles #automobileindustry #automotive #automotives #automotiveart #AutomotiveIndustry #automotiveindustry #vehicle #vehicles #DrivePK #drivepk #drivepkautonews #DrivePK #AzadiAutoShow #ToyotaCorolla #CorollaAltis #ModifiedCorolla #ModifiedCars #CarShow #CarCulture #CarsOfPakistan #PakistanCars #CarTok #CarsOfTikTok #Automotive #IslamabadCars
দেখছো প্রিয় আমার ইচ্ছে গুলো কতটা অসহায়😅❤️🩹 #foryoupage #viralvideo #1millionaudition #ফরইউতে_দেখতে_চাই
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy